Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



Hahaha. ....ati chibu what.......lol.There aren't such stuff in Kenyan market.
 
this tourist had to fly to JKIA from Heathrow first before he flew to Dar...kwani hamna ndege?? naliamsha dude
he did not want to use these mitungi ya chang'aa

 
This is the funniest thing I've seen this week
 
this tourist had to fly to JKIA from Heathrow first before he flew to Dar...kwani hamna ndege?? naliamsha dude
he did not want to use these mitungi ya chang'aa

Tanzania imenunua ndege 7 kwa mbigo my friend sio ime lease imenunua cash zikiwemo dash 8 q400 tatu, boeing 787 mbili pamoja na bombadier cs300 mbili alaf kumbuka air tanzania is 100% owned by gvt of tz..
....kenya airways ndege zote ni za kulease huku serekali yenu ikimiliki only 29% na klm 27% zilizobaki ni za matajiri wa mataifa mbali mbali

Juzi mumerudisha ndege 5 kwa wenyewe😀😀😀
Zikiwemo boeing 737 kwa kifupi endeleeni kutafuta mchawi anaeitwa loss ambae anaisumbua hio kampuni leo miaka minne mfululizo😛😛😛

Na hii nyingine tena zimerudishwa mbili tena kwa wenyewe😀😀
Haha mpaka embraer mumeanza kuzirudisha aisee


 
sikuwahi kufikiria kuwa mafanikio ya mtanzania diamond plutnumz yanawatesa sana wakenya kiasi cha kutoa povu jingi sana kuhusu product yake ya karanga iliyoanza kupatikana nchini kenya hivi karibuni.

nilidhani wenye wivu na mafanikio yake watakuwa ni watanzania pekee maana ni kawaida kwa nabii kutoungwa mkono na watu wake wa nyumbani.

last 3 month,jiji la dar es salaam lilipata ugeni wa kahaba wa kikenya kwa jina la hudda monroe...alikuja ku-promote sambamba na kutafuta soko la product zake zinazohusiana na masuala ya urembo kwa kina dada.

hatukuona mtz hata mmoja kwenye ma-social media akitoa povu kuhusu product za kahaba hudda nchini tz.alipata support ya kutosha.


leo hii tunapoona wakenya wa jf wakitoa povu kuhusu product ya diamond karanga kupatikana nchini kenya,inatufanya tuamini ile tafsiri yao kuhusu neno "aggressive" kama ilivyoulizwa na comrade game over na kujibiwa na nyang'au mmoja.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122]

kwa hakika wakenya ni "uncooperative and hostile,ready to attack any tanzanian or any product owned by a tanzanian"..watu wa old stone age.[emoji23]
 
NALIAMSHA DUDE:
types of photos they will never show us:
unfortunately this is how some white guys on instagram show to the world the image of kibera.
 
NALIAMSHA DUDE:
types of photos they will never show us:
unfortunately this is how some white guys on instagram show to the world the image of kibera.
 
NALIAMSHA DUDE:
types of photos they will never show us:
unfortunately this is how some white guys on instagram show to the world the image of kibera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…