Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wakenya muwe mnasoma alama za nyakati,hizi sio zama za utawala wa kikwete...hizi ni zama za utawala wa chuma dr. john pombe magufuli.

game imebadilika sana....siku za kufanya biashara tanzania kwa mbinu za ujanjaujanja zilishaisha tangu 2015 kikwete alipomaliza mda wake.

hapa kazi tu..[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 
Vyuma vimekaza safari hii
 
Whatever you are posting here is irrelevant considering kenya has the fastest Internet in Africa and way more length in km og fibre optic cable than Tz(considering kenya is smaller in size)
 
Tecno mobile shops in Nairobi:

View attachment 621319
Huelewi, it's simple, Tecno yea ni smartphone lakini watu wengi ambao wanazitumia ni wanafunzi wa chuo au ma hustler wa mtaani.
Hata Slay queens hutumia either iPhone ama Samsung. Usually tecno is associated with it's affordability and then it's Chinese.... So you wouldn't be proud to own a tecno or infinix.
Kuna memes mingi sana about owning an infinix or tecno.
 
So according to you they were right to kill by burning 6,400 chicks??! Total bullshit! That's a good example of a lunatic animal department.
So ingekuwa ng'ombe you shoot all the cows....
 
Brand zingne nzuri ni HTC, Sony, LG
 
Walisema bagamoyo haijengwi...ogopa sana nchi iliotokea ujamaa ni hatariiii
sasa subiri tuone kati ya bagamoyo na lamu ipi ni white elephant😛😛😛

 
Basi sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…