joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Hata Mimi sijamuelewa, alikuuliza Kama Kuna kulipia fidia kwa watu waliochukuliwa ardhi yao kupisha Mradi?, ukamjibu ndio lazima watu walipwe fidia, bado akasema ndio maana ni "cheap". Sasa ungesema hakuna kulipwa fidia, sijui angejibu nini.Cheap ukimaanisha nn sijakuelewa? Shida ya kenya miradi mingi sana kuna ufisadi wa kutisha na hili huwez kataa kila mtu anataka ale hapo hapo kwenye huo huo mradi kwann usiwe ghali
Sijaelewa mkuu.. nieleweshe..Serious Business.
Some sample shops are up and running at East Africa Commercial Logistic Center
View attachment 2642169
View attachment 2642170
View attachment 2642171
Haha sasa ligi zenu ni hizi nchi maskini za kiafrika?Na hili ni account ya Jeshi la Uganda wakitia ushuhuda wa historia ya jeshi lao la leo na muundo wa jeshi hilo na wah7sika wakuu waliounda jeshi la nchi yao.
Ndio ilivyo kwa Mozambique, Rwanda, Burundi, Zimbabwe, Angola, Namibia, South Africa, Zambia, DRC Congo, S. Sudan.
Nilisahau Seychelles na Comoros.
Wewe Mbona unatetea ufisadi wa serikali yenu kiasi hichi au na wewe ni mnufaika? Huoni kabisa kama hiyo ni broadlight theft?Ndio maana ni cheap.
Mpaka expressway 27 km mmejengewa kwa trillion 1.5 wakati Tanzania 215 km inajengwa kwa trillion 1.9, ninyi ni ng'ombe wa mafisadi wenu waliojazana serikaliniYou know ukisota Kenya uingie tanganyika the cheap ass country unanunua duka nzima na 10k.....ksh.....that's why Subaru boys like partying in the overrated arusha
Kwani unahisi 10ksh ni sh ngap bong0??You know ukisota Kenya uingie tanganyika the cheap ass country unanunua duka nzima na 10k.....ksh.....that's why Subaru boys like partying in the overrated arusha
Sijaelewa mkuu.. nieleweshe..
Kwamba unafungua sehem (unaonyesha pia jina la hio center unayojengwa) afu hio center ikikamilika unahamia huko ubungo?
they can only scare dwarf countries....not Kenya and they know it.TZ has a real fear for Kenyan aggresiveness....haha.....waweke free border trade waone kama we wont colonize that tz of theirs in 5 yearsHaha sasa ligi zenu ni hizi nchi maskini za kiafrika?
Tafteni sifa kutoka nchi za maana.
Zilizoendelea