So maana yake nini kua kenya inailisha tanzania au???Ichioboy huargue for the sake of it. Ukiangalia content kwa arguments zake ni almost zero. He lives in denial. Generally Kenya is more developed and better than Tanzaia, and that pains him a lot
Watakwambia lipo katikati ya nakuru na nairobiπππHahaha
Uzuri watanzania Wakenya wakianzisha kitu kinakuwa ni Toleo la 1970 kurudi nyuma
Tukijenga sio ni kitu cha kipekee kabisa
41% Tecno hahahaha lol. Unaona ata quality ni shida kwenu. Hii ni ratio, si the number of guys who own itWe jamaa sijui njaa au nini.
Hebu soma report hii hapa ya matumizi ya smartphone Africa:
Katika matumizi hapo ni aina gani ya simu mnaongoza kwa nyie wakenya? Sasa hiyo ni international Research
Nonsense as usual πππTunajua very few guys own smartphones huko kwenu
So tecno is not smartphone ryt?????41% Tecno hahahaha lol. Unaona ata quality ni shida kwenu. Hii ni ratio, si the number of guys who own it
Moderators wa JF wanalipwa hela nyingi kuliko wa JamiiForums.comUongo.
Niambie kazi moja hapo inayolipa better than Ke.?
Ni mkebe kakaSo tecno is not smartphone ryt?????
Kwanza nikuulize swali dogo unajua tecno ni sim za wapi?????Ni mkebe kaka
Nazifahamu tecno, huwa zinalaunchiwa huku ata. Pamoja na infinix is a no noSmartphone gani unatumia wewe?
Hii hapa ni Tecno
uchinaKwanza nikuulize swali dogo unajua tecno ni sim za wapi?????
So wewe ni kitu gani usichotumia cha mchina ikiwa hio SGR munatumia ya mchinaπππππuchina
Hebu tuoneshe sim unayotumia wewe?????Sim hata GSM arena huwezi ipata
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] umepaliwa na chang'aa???si umesema wenye smartphone ni wachache??41% Tecno hahahaha lol. Unaona ata quality ni shida kwenu. Hii ni ratio, si the number of guys who own it
Najua kuna simu za china za maana kama OnePlus ama Xiaomi. Lakini Tecno, Infinix, sisi kama wakenya tumeziktaaSo wewe ni kitu gani usichotumia cha mchina ikiwa hio SGR munatumia ya mchinaπππππ
Ndio maana nikakuuliza tecno sio smartphone kwani??Mimi nilisema the % of smrtphone owners in Tanzania, sheesh