MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,512
- 15,128
Huwezi kuwa raia wa Tanzania bila kuukana uraia wa nchi yako ya awali kitu ambacho ni ngumu sana unless hao utakuta wengi wao wamelowea sana huku wengine wameoa na kuzaa huku fursa na biashara zimewafaidisha hasa hao jamii za Asia huku lakini kumiliki mali na ardhi hawawezi hivyo inabidi wawe raiaHuu uraia wa Tanzania unatafutwa sn, tukizubaa tutakuja kupokea mijitu hapa ikaharibu kizazi chetu na kuleta tabia zao mbovu kama za Kenya.
Poorly constructed roadHahaha hizo street lights umeziona kwanza? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
View attachment 2639754
Hawa Wakenya wasipewe uraia wa hii nchi, Wakenya wengi wanapambana sn kuwa Watz lkn inabidi wawekewe vikwazo vya hali ya juu kuliko raia wengine woteeHuwezi kuwa raia wa Tanzania bila kuukana uraia wa nchi yako ya awali kitu ambacho ni ngumu sana unless hao utakuta wengi wao wamelowea sana huku wengine wameoa na kuzaa huku fursa na biashara zimewafaidisha hasa hao jamii za Asia huku lakini kumiliki mali na ardhi hawawezi hivyo inabidi wawe raia
Kuhusu intelligence tuna vetting nzuri tu sema tunaidharau [emoji3]
Kuhusu tabia ukishakuwa Tanzania utanyooshwa tu utake usitake umekuta watu milioni 60 na ustaarabu wao itabidi uwende nao sawa hata hao watakaozaliwa watakuta tabia zetu na ndio hizo hizo wataiga ziwe mbovu au nzuri ndio hizo hizo huwezi badilisha watu million 60 ambao bado wanaendelea kuzaana na kukulia katika mazingira na tabia zile zile walizozikuta
In descending orderWakenya 12 wameukana uraia wa Kenya na kuchukua uraia wa Tanzania, hii Wakuu imekaaje? Serikali iweke ugumu kumpa mkenya uraia sababu ni watu wasioaminika kabisa
View attachment 2639942
5H TCH unafahamu itarudi lini , na lini trip za joburg zita resume ?Aisee ni lidude likuubwaa kweli kweli.
| May 29 |
| ⚡🇷🇺 Russian Foreign Minister Sergey Lavrov holds a meeting with the leadership of the Parliament of 🇰🇪 kenya in Nairobi |
Hapo wote ni viongozi wa failed states 😄😄Kenya voted to condemn Russias invasion of Ukraine at the UN but still their top diplomat was in Nairobi yesterday for bilateral talks. Tanzakundu abstained the vote
View attachment 2640011
May 29 ⚡🇷🇺 Russian Foreign Minister Sergey Lavrov holds a meeting with the leadership of the Parliament of 🇰🇪 kenya in Nairobi
Mbona wasomali hujawaona hapo na wakenya je ??? Na wahindi 75 je?? Ww unataja hao wachache na wengine mbona huwataji? Uingereza je?Tunawapa Wapakistan, Wayemeni na Walebanon uraia? Hivi intelligence yetu ipo wapi? imelala?
Wakenya 12 wameukana uraia wa Kenya na kuchukua uraia wa Tanzania, hii Wakuu imekaaje? Serikali iweke ugumu kumpa mkenya uraia sababu ni watu wasioaminika kabisa
View attachment 2639942
Wake up kumeshakucha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kimewaramba, tanzakundu has two ports(all) either funded or operated by the Chinese.
View attachment 2639997
Hawa Wakenya wasipewe uraia wa hii nchi, Wakenya wengi wanapambana sn kuwa Watz lkn inabidi wawekewe vikwazo vya hali ya juu kuliko raia wengine wotee
Leo hii mumawashabikia russia wakat mulikua watu wa kwanza kuwakana 😆😆😆😆Kenya voted to condemn Russias invasion of Ukraine at the UN but still their top diplomat was in Nairobi yesterday for bilateral talks. Tanzakundu abstained the vote
View attachment 2640011
May 29 ⚡🇷🇺 Russian Foreign Minister Sergey Lavrov holds a meeting with the leadership of the Parliament of 🇰🇪 kenya in Nairobi