Kwahyo Isaka to Kigali imekufaMkuu, usijisumbue kichwa yako, hakuna lolote hapa linaloendelea ni mikutano ya kawaida na kupiga picha tu, jiulize nini kilichosababisha kusambaratika kwa CoW?. Nini kilichosababisha Kenya kushindwa kufikisha reli Yao Malaba hadi Leo?
Tanzania has since registered stunning progress in the development of over 4,000 km of standard gauge railway line as Kenya, Uganda, and Rwanda grapple with financial challenges.
Hii hapa juu ndio sababu kubwa ya SGR ya Northern corridor kushindikana, jiulize hiyo sababu imekwisha au bado ipo?.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Nyerere hakukosea kuwaita "Man eat man society"Wameanza kulana wenyew kwa wenyew[emoji23][emoji23]View attachment 2636565
kaka open up ur eyes! July wanasaini mkataba rasmi na Yapi Merkezi! Reli Kampala Malaba inajengwa!Mkuu, usijisumbue kichwa yako, hakuna lolote hapa linaloendelea ni mikutano ya kawaida na kupiga picha tu, jiulize nini kilichosababisha kusambaratika kwa CoW?. Nini kilichosababisha Kenya kushindwa kufikisha reli Yao Malaba hadi Leo?
Tanzania has since registered stunning progress in the development of over 4,000 km of standard gauge railway line as Kenya, Uganda, and Rwanda grapple with financial challenges.
Hii hapa juu ndio sababu kubwa ya SGR ya Northern corridor kushindikana, jiulize hiyo sababu imekwisha au bado ipo?.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kampala- kigali made alot of sense to both rwanda and Uganda because of the trade volume between them. Uganda kujiunga na reli ya tz ilkua wishful thinking, there was no chance inge happen. But atleast now you have a chance with DRC because there's no way watajoin na rwandakaka open up ur eyes! July wanasaini mkataba rasmi na Yapi Merkezi! Reli Kampala Malaba inajengwa!
Tanzania still has a chance for share of Uganda's cargo, if Tanzania is to built her section to Tanzania Uganda border +400 km! Still we have an upperhand on u! See Mirama Hills! the focus should be Kaabale/Hoima region i.e. the Lake Albert region!Kampala- kigali made alot of sense to both rwanda and Uganda because of the trade volume between them. Uganda kujiunga na reli ya tz ilkua wishful thinking, there was no chance inge happen. But atleast now you have a chance with DRC because there's no way watajoin na rwanda
Hio zuga mzee na hii sio mara ya kwanza kusaini mikataba kama hio, museven ni mjanja sana hawezi kuanza ujenzi mpaka kenya wasogeze reli malaba shika maneno yangukaka open up ur eyes! July wanasaini mkataba rasmi na Yapi Merkezi! Reli Kampala Malaba inajengwa!
Na haweze kujenga reli museven mpaka mufkishe reli malaba na pesa ya kujenga hamuna na mchina kakataa kutoa mkopo kwasababu hamulipi madeni 😆😆 na mchina kashaona kua ni white elephant project tayariKampala- kigali made alot of sense to both rwanda and Uganda because of the trade volume between them. Uganda kujiunga na reli ya tz ilkua wishful thinking, there was no chance inge happen. But atleast now you have a chance with DRC because there's no way watajoin na rwanda
ngoja tuone! July si mbali!Hio zuga mzee na hii sio mara ya kwanza kusaini mikataba kama hio, museven ni mjanja sana hawezi kuanza ujenzi mpaka kenya wasogeze reli malaba shika maneno yangu
👍👍ngoja tuone! July si mbali!
Na Museveni ni mjanja anataka atakaye kuwa committed kumkaribia ndio aungane naye .Na haweze kujenga reli museven mpaka mufkishe reli malaba na pesa ya kujenga hamuna na mchina kakataa kutoa mkopo kwasababu hamulipi madeni [emoji38][emoji38] na mchina kashaona kua ni white elephant project tayari
Nguvu tumewekez DRC burundi na rwanda kwa uganda nguvu nyingi itatumika kupitia lake victoria mwanzaNa Museveni ni mjanja anataka atakaye kuwa committed kumkaribia ndio aungane naye .
Mimi naona tungewekeza nguvu kubwa kumfikia Burund na DRC
Huo ni wasiwasi tu mkuu, Kila kitu kinaenda Kama kilivyopangwaKwahyo Isaka to Kigali imekufa
Halafu sijaelewa Museveni anataka awe ndio centre nini? [emoji16]anact uganda kama prize fulani hivi mara juba ,Mara Tz ,Mara Kigali ,Mara Kenya kote anakutaka yeye hajui aanzie wapiNguvu tumewekez DRC burundi na rwanda kwa uganda nguvu nyingi itatumika kupitia lake victoria mwanza
Mkuu, ninaweza kuweka rehani hii account yangu, hivyo vitu ni ndoto za mchana, wewe umeona wapi ujenzi wa miundombinu mikubwa Kama hiyo inaanza kwa kusaini mikataba na mjenzi badala ya "Financer/Funder?", au nao wameamua kuanza ujenzi kwa kutumia pesa zao za ndani?.kaka open up ur eyes! July wanasaini mkataba rasmi na Yapi Merkezi! Reli Kampala Malaba inajengwa!