Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uwa sielewi kwann wakenya wanapenda ujenzi wa aina hii nyumba aina madirisha wala milango sasa sijui waingilia juu kama ndege
Hakuna sheria kwao yani ujenzi ni holela tu alaf ujenzi wao mara nyingi ni wamagumashi sana hua wanachanganya mpaka na udongo kuna magorofa mengine ni udongo mtupu 😆😆 yani maisha ya mkenya hayana thamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…