ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,458
- 89,880
Moja ya Miji itakayokuwa mizuri ni Kigoma,Haina uswazi na kuchelewa kupata miundombinu kumeisaidia kupata miundombinu Bora na makazi ya Kisasa..
Acha chukiHizi Bodaboda na vituktuk ndio legecy ya Kikwete. Zingepigwa marufuku kwakweli!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vitasa vya wenyewe kwa wenyewe vimeshaanza muda tuu Tanga vs Mbeya [emoji16]
Hawa waholanzi kwao wanawanyang'anya wakulima ardhi kisa kupunguza emission. Wakulima wao wamekuwa wakiandamana kila siku, wasituletee tuu ajenda za emission. nchini kwetu.
Tatizo wakulima wa ulaya chemicals nyingi sana.Hawa waholanzi kwao wanawanyang'anya wakulima ardhi kisa kupunguza emission. Wakulima wao wamekuwa wakiandamana kila siku, wasituletee tuu ajenda za emission. nchini kwetu.
Sukumagang Hawachelewi kusema legacy ya JPM!Acha chuki
Legacy ya JK ni Elimu na miundombinu bila kusahau Mlonganzila na Upanuzi wa Taasisi ya Mifupa ya Jakata Kikwete nk
Udom