joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Huyo bint anakichwa maji sana, kila akiambiwa abadili herufi hasikilizi, kwa namna hiyo sina uhakika kwamba juhudi zake za kutafuta boufriend wa kibongo zitafanikiwaJaribu kuandika kwa herufi ndogo, Unaboa.
Halafu MARAYA ndio nini?
Wikipedia ata mi nikitaka naieditWE MTZ UKO NA SHIDA SANA..HEBU VISIT HII LINK.List of tallest buildings in Africa - Wikipedia
Away from city centre
asante kwa kuniwekea link ya mwaka 2010.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Hiyo ni barabara gani chafu ivo...imeparara.
most estates nai ziko na free wifi ,inafaa ujue ivo budayule mkora naona mida hii kasharejea kwenye makazi yake duni kule kawangware...huwa anakuwa online mda wa mchana tu sababu mda huo anakuwa anazurula maeneo ya cbd akitafuta eneo ambalo lina access ya kupata free Wi-Fi...mida hii huwezi kumpata jf.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Pia cape town kuna slum kubwa but hamwezi kamwe jicompare naoasante kwa kuniwekea link ya mwaka 2010.
ulivyomjinga,hata hukujishughulisha kusoma publication date ya hiyo link yako....ulikurupuka tu...the information in your link is old hence invalid.
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]
by the way,this is 2017,nakuwekea vitu latest toka twitter ambapo keyword "slums in Nairobi" imetumika kwa nafasi kubwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nakupa assignment... leta screenshot au link latest inayozungumzia "slums in dar es salaam".
latest in a sense that isiwe imepita wiki moja,siku moja au masaa.[emoji23]
cape town ipo EA?...elimu ya kenya ni shida sana.[emoji23] [emoji23]Pia cape town kuna slum kubwa but hamwezi kamwe jicompare nao
asante kwa porojo.most estates nai ziko na free wifi ,inafaa ujue ivo buda
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]yule mkora naona mida hii kasharejea kwenye makazi yake duni kule kawangware...huwa anakuwa online mda wa mchana tu sababu mda huo anakuwa anazurula maeneo ya cbd akitafuta eneo ambalo lina access ya kupata free Wi-Fi...mida hii huwezi kumpata jf.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
sijasema ipo EA popote.cape town ipo EA?...elimu ya kenya ni shida sana.[emoji23] [emoji23]
asante kwa porojo.
staaki kubishana but jua ivo.asante kwa porojo.
Naona mpaka kishipa kimekutoka😀😀😀Hiyo ni barabara gani chafu ivo...imeparara.
Mchangaa ya pwani shida
Maneno ya mkosajinowadays I don't waste alot of time arguing with these poor Tanzanians. ....naona wanajadiliana wenyewe.
lol!nowadays I don't waste alot of time arguing with these poor Tanzanians. ....naona wanajadiliana wenyewe.