Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona hata sasa wanapiga magoti tuwapelekee bomba la gesi wapate ahueni kwenye energy cost pamoja na dollar crunch na pia juzi tumeona wakiitolea mimacho ya kinyangau 767 freighter
😂😂😂😂.Kuna ujinga flani walitaka kutuingiza vichwani mwetu juzi juzi tu hapa kwamba wao ni special sana kwenye ukanda huu! Hamna lolote!Falamagamba!!!.Pwagu na Pwaguzi.
 
Mashashola acha kuvuta bangi mbichi wakati wa jua kali mbona baadhi ya picha, maeneo unayopost machafu hivyo hivi we mwenyewe huoni kweli?!
Either ni kuchafu au sio kuchafu bado inabaki kua Eastleigh Nairobi
 
Wajinga Fulani wanakaa tu kutafuta watu wenye furaha.Hakuna watu wasio na furaha kwa ssa kama Ulaya kutokana ukorofi wa Putin
CCM chama kimoja tangu independence. Magufala kuua watu. No freedom of speech kuua upinzani... Tanzania ni jehanamu
 
Tanzania humu ndani have no idea what Nairobi is. They heard of Kibera and that is what they run to always.

However Nairobi has over 21 World class hoods that have no difference to any city in the world.

Look at this example.
As much as Nairobi has some downside, it has also the best in Africa
 
Peleka ujinga Nairobi haina cha maana zaidi ya substandard roads n buildings, insecurity, heaps of mulls, water scarcity, cholera n hunger!
 

Dude, we’ve been traveling to and from nairobi countless times . Nairobi is nowhere near a modern city. Uchafu na harufu mbaya na machokoraa all over the shithole town.
 
Kijana miaka 21 tayar alishanunua BMW X6 in 2018 kwa wenzetu huko wanakaa na njaa mpaka wafe 😆😆😆
Ghana Nigeria south Africa pekee ndio wako juu yetu kwa online Trading.

Wewe endelea kusifu amateurs.
 
Kwani kibera iko dunia ya nne au iko hapo nairobi yanii maneno yako yote hayabadilishi kua kibera ndio the largest and worse slum on planet haiwez badilika 😆

Eti 21 world class hoods hebu zitaje hapa kama kweli una gololi mbili zilizokaza😆😆😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…