Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Naweza kukupostia majengo mapya, barabara mpya, shule mpya, supermarkets mpya, sehemu za michezo mpya, hotels mpya, viwanda vipya, renovation za masoko na mashule hadi government buildings, hata dampo jipya naweza post Ukitaka.. huyo tahira haijui Tanga.. hata naweza kukupostia miji iliyokua juzi kimaendeleo kutoka kuwa ya maskini hadi kuwa middle class ..
Mara ya 3 hii unaleta the same picture plus video Juu 🤣🤣🤣🤣ChoiceVariable View attachment 2596232hii ni Sahare, miaka kumi nyuma paliitwa Sahare kijijini kutokana na aina ya makazi yaliyopo hapo.. barabara hii ni mpya+Haya makazi ni mapya watu wa middle class n some rich people have been relocated to this place n it's now full (mind you hii ni imetokea in just years) investments zingine kwenye hili eneo ni hii hotel Tanga beach resort 👇View attachment 2596239View attachment 2596242View attachment 2596243.. by the way sasahiv sahare inatoka jino kwa jino na Raskazone (TA posh street)
Unaweza leta makazi au hotel yenye hadhi ka hizo kutoka Mbeya.?Mara ya 3 hii unaleta the same picture plus video Juu 🤣🤣🤣🤣
Tanga ni Kijiji kama Vijiji vingine vya Kahama Morogoro,Geita etc.
Malizia hivi, unachukua zako joka la umeme kutoka mwanza masaa yako kadhaa ushafika Dar, unatoka hapo unaingia zako kwenye BRT ambayo ni system unaingia zako airport huyooo zenji au mamtoni mwanangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]BRT hapo imeshakamilika wanafunga taa za barabarani tu saiv.. Ikipigwa picha ya usiku hapo itakuwa lit!!!!
Mambo Yana kwenda speed sana! Unashuka kwenye train ya mwendokasi, unapanda bus la mwendokasi.. Zero cost hakuna Uber kuhusika hapo! Usafiri rafiki na nafuu Kwa umma.
Kwanza ni ya level ipi hiyo?Unaweza leta makazi au hotel yenye hadhi ka hizo kutoka Mbeya.?
Kitendo cha sisi kuwa na hivyo vitu ambavyo hiyo nchi haina manaake tushaipiku mpk hapo.Maneno mengi bila tija. Kuna nchi kadhaa havina ulivovitaja vyote na umeshinda hiyo nchi yenu kimaendeleo na kwa kila kitu
Wakati wenzetu wanazubaazubaa na vita za ugali sisi tayari tuna mpango wa kuweka overpass ya ndege kupishana na gari kama Germany [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unyama sanaaa..
Yani kama mbeleee...
Level nyingine... Sio agenda za Nchi ni Ugali.. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Any high rise building apart from what you posted.? 🤣🤣🤣 Umemaliza hapo the best of your city 🤣🤣🤣🤣 Dah..!! Ndio utawezana na Tanga sasa .? Nimekupa ka story ya Sahare unapostia vijengo vyenye ni jua kali type, jinga kabisa weweKwanza ni ya level ipi hiyo?
Mbeya Hotel kubwa ziko 4 ila zingine ni za level ya nyota 3
Southern Highlands Hotel View attachment 2596252
Tughimbe Royal Hotel View attachment 2596253
New GR City Hotel View attachment 2596254View attachment 2596255View attachment 2596256
Na mwisho ni Mdope Hotel View attachment 2596258
Kwani High rise buildings ndio Ina define City status? Kama ni hivyo Iringa has more highrise buildings kushinda Tanga na Mbeya yet is just a mere town..Any high rise building apart from what you posted.? 🤣🤣🤣 Umemaliza hapo the best of your city 🤣🤣🤣🤣 Dah..!! Ndio utawezana na Tanga sasa .? Nimekupa ka story ya Sahare unapostia vijengo vyenye ni jua kali type, jinga kabisa wewe
MbeyaChoiceVariable explore my home town ni residential buildings tu zitakufanya upost the best of your so called city 🤣🤣🤣.. anyways gorofa ni nyingi sana ndani barabara za namba kuliko kuliko zile zilizopo Mbeya and Iringa combined ona vile classic residential buildings hukaa 👇View attachment 2596299View attachment 2596300
Mbona ulishapost majengo Yale Yale but different pictures 🤣🤣🤣 Mbeya is nowhere to be seen ukiitaja Tanga
Yapi hapo nili post ? Umeanza kuweweseka si ndio?Mbona ulishapost majengo Yale Yale but different pictures 🤣🤣🤣 Mbeya is nowhere to be seen ukiitaja Tanga
🤣🤣🤣 Sasa kila post utaweka majengo hayohayo bro.? bad enough ni city center eti 🤣🤣🤣Yapi hapo nili post ? Umeanza kuweweseka si ndio?
Tulia dozi ya Mbeya ikuingie View attachment 2596328View attachment 2596329View attachment 2596330View attachment 2596331View attachment 2596332View attachment 2596333
Utalia sana Kwa Mbeya hapo Bado🤣🤣🤣 Sasa kila post utaweka majengo hayohayo bro.? bad enough ni city center eti 🤣🤣🤣