Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
unajiaibisha zaidi...kusema some kenyans are hostile towards artists ina maana walivaa chupi za ngozi na kuanza kuwapiga marungu...sio??
 
nadhani ilitakiwa uandike "don't take it personal badala ya personally.

wakenya mnajinasibu kukifahamu kingereza ilhali mnaandika broken english.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mtanzania hawezi akamfunza mkenya english

 
kitu mtanzania anaweza sema fluent ya English labda ni wimbo wa happy birthday. na Christmas
Ivi kwanini mnaona English ni lugha ya maana sana , mchina hajui English lakini anapata tenda kubwa sana uku dubiani , knowledge haiji na kujua lugha , lugha ni njia ya communication tu , wachina wapo uku bongo tunawasiliana kwa ishara na kazi zinafanyika
 
Katika vitu kinachonifanya niwashangae wakenya, na wakati mwingine nifikie hatua ya kuwadharau ni mambo mawili
1)Ukabila
2)Kudharau lugha ya taifa la Kenya na kutukuza Kiingereza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…