Hebu tuambie wewe inachukua siku ngapi wakat kutoka mombasa mpaka nairobi almost two days kwa SGRHio 5 to 6 days umetoa wapi??
Hata naivasha haifiki ni nairobi ICD huko naivasha ilibaki kama mwisho wa reli tu π€£π€£Sasa unataka kusema siku ngapi? Walati mzigo unafaulishwa naivasha?
Hio 5 to 6 days umetoa wapi??
Deal gani wewe unakuja kutudanganya hapa ni kichaa gani atakuja kuekeza kenya hio 56b ya electric BRT iko wapi sio nyinyu mliopoteza pesa za taxpayers kuchora thika yote mukadhani BRT ni sawa na kula githeri tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huku mwenzako kamwaga fedha tu 560m usd + 1.4m usd for marbug relief
export-import banks will sign an MOU with Tanzania which will facilitate up to 500m USD in the US export to Tanzania in the areas of Transportation,β¦
IRVINE will invest Sh74.8 bn in TZ poultry industry
[emoji631] agreed to provide tech and 5G assistance to [emoji1241], and boost cyber security.
[emoji631] USAID provide 1.1b usd to tanzania for economy, health and education
[emoji631] will assist tanzania in Port Transaction Advisory Services
[emoji631] will invest in mineral processing industry for batteries
Kichwa cha mwendawazimu na ndoto za alinacha ππππ
Kichwa cha mwendawazimu na ndoto za alinacha [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nimecheka sana unajua kwann nacheka nimekumbuka 3yrs ago mulivokuja na mbwembwe ohh nye nye sisi tunajenga 50km BRT thika highway ohh mukaishia kupoteza pesa kupaka lipstick na kujenga kituo kimoja utasema choo cha bar π€£π€£π€£Kwani wewe ndo umesign deal ndo ukatae ama ni wivu tu unakusumbua
Yani nachocheka mm niliwaambia BRT sio githeri kwamba unaamka asbh na hangover za muogokaa unawaza BRT πππKwani wewe ndo umesign deal ndo ukatae ama ni wivu tu unakusumbua
Hao wa mabilionea wetu wengi ni wa mchongo ndo wanaopiga hela kwenye mabenki ya serikali na kusepa pamoja na kuondesha biashara za wanasiasaView attachment 2571338
Na hao pia wakenya?
kiswahili cha kikenya hiki...πHii ndio best video nmeona ya Dodoma so far,kajaribu sana
Sent from my SM-A035F using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kiswahili cha kikenya hiki...π