Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

If this fails, I promise to relocated permanently from a country of milk and honey and go to be a citizen of a country of hunger, tribalism, police killings, political instability, bandits, terrorism, slums and Joblessness
Which parastatals makes profits in Tanzania?😂😂
 
Kenya GDP mnayoipigia kelele humu imeshuka kwa kiasi kikubwa now under US100bn. Thanks to KSh devaluation.

Kenya shilling is stabilizing sasa we have made deals to de_doll arise the dollar and countries have started accepting Kenyan shillings as a means of payment, give it one year and Urania hata tanzania ikinunua bidhaa kwa Kenyan shillings. This man ruto nafikiri ni watu hawamuelewi yeye anaona bora mteseke kwa muda mfupi by removing subsidies but anaweka mikakati ambayo in the long run the economy itakua strong all they have to do now ni lie sure we have a lot to export ndo other countries see value to have the Kenya shilling.
 
Hehe sasa ukweli umeanza kutoka na bado. Haha watu wanafichwa ukweli wanakuja kupiga kelele huku kumbe chini ya mkeka ni uvundo mtupu. Sasa waterless Mbona wakenya hucomplain. View attachment 2570761
View attachment 2570762
View attachment 2570763
Hicho ki Sgr hakiwezi kuja kuleta faida ,Kwa mzigo gani huko Mwanza inakojengwa?

Tazara inayoenda ambako 70% ya mzigo wa Bandari ya Dar inakula hasara sembuse hiyo ya kwenda Mwanza na Kigoma?

Bora Kunyaland mlijenga Sgr kwenye economic corridor
 
At the time our terminal 3 was being built ,A380 was still in production, it was designed to accommodate such a plane.
 
But for me I do like this Samia, she is very transparent and saying things how it is. She is more business friendly than the rotting kiparangoto.
Hahahaha, mnajikomba kwa Samia sio?, She is not your president, how does it affect you if she is either business friendly or not?, When we say Kenya needs Tanzania for it's survival you become ungry.
 
Ona dictatorship hehe sasa kuna wengine hawataki watanzania wajue ukweli lazima serikali ifiche ukweli kwa Nija zote [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahaha, mnajikomba kwa Samia sio?, She is not your president, how does it affect you if she is either business friendly or not?, When we say Kenya needs Tanzania for it's survival you become ungry.

Alitunyima dollar kumbe hata tanzania haikua na hizo dollar ukweli ulifichuka kua hata nyinyi mna shortage but mnaficha same way Kenya ilijaribu kuficha but it leaked, sasa kenya isha make deals to buy oil in Kenya shilllings and leaving tanzania iko struggle hehe. Inaitwa akili mtu wangu
 
Which type of proof is better than hunger?

Hunger has been their since time memorial, sisi tushakubali we a semi arid country and chakula kumea ni shida but we opted to import, imports zikifika everything will be sorted out. Si Makosa ku import chenye unaona kuzalisha ni gharama, the previous government wanted to protect the farmer by kukataa ku import vyakula but sasa Hii serikali imeona bora to import to fill the gap soon njaa itakua a thing of the past.
 
Mnajipemdekeza kwa Samia zaidi kuliko mnavyojipendekeza kwa Willium Rutto. Kenya without Tanzania is nothing.
 
This is how a responsible president is suppose to act, not the way leaders of failed state reacted when realized that billions of Shillings was stollen within 26minutes by previous regime, nothing has happened apart from shouting everyday.
 
This is how a responsible president is suppose to act, not the way leaders of failed state reacted when realized that billions of Shillings was stollen within 26minutes by previous regime, nothing has happened apart from shouting everyday.

Show me where she made those directives
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…