Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

......miss Kenya top ten in the world. ....nyinyi na urembo huo wenu wa bandia mnatafutwa na sururu huko chini
 
Here are two of the students hall's of residents on the left is hall two and on the right is hall five at udsm



what happened to this once prestigious UDSM....?...nowadays it's nowhere near top 30 in Africa. ......hata Moi Egerton Jkuat na KU ranks above it sometimes
 
Tulia haya mambo Ni mazito
 
Inamaana vijana wa kenya comment hii hamuioni? Au kiburi. Tupieni hata kaneno kamoja tu roho yangu itasuzika.
 
huyu hapa ni mtanzania...naona ni mrembo kweli...😀😀😀😀😀😀lol! utadhani madem wenu ni malaika kumbe ni hawa hapa...🙄🙄🙄
huyo ni mkenya mwenzenu kaja kutafuta fursa ......anazurura tu kwa city....huoni kabisa huyo kabisa copy yenu jaluo mwenzako[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
si kila mtanzania hajui kuzungumza english wapo wengi tena sana wanaoweza kuzungumza.....english tena zaidi ya wakenya[emoji1] [emoji1]
 

hauwezi ukaelewa ndg....this thing(GOT, barrick gold and acacia) is way above your ability of understanding,you can't sail with it.

sio wewe tu,hata baadhi ya watz wasomi , nao pia bado hawajaelewa...wanajiuliza maswali kama wewe unavyojiuliza.

BTW wasome hawa wakenya wenzako wa JamiiForums.com...labda kidogo utapata mwanga.
 
huyo ni mkenya mwenzenu kaja kutafuta fursa ......anazurura tu kwa city....huoni kabisa huyo kabisa copy yenu jaluo mwenzako[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Inamaana vijana wa kenya comment hii hamuioni? Au kiburi. Tupieni hata kaneno kamoja tu roho yangu itasuzika.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
imefikaje mnaanza kudiscuss physical appearance za watu tena.. .SMH. Turudi kwa battle pliz.....offside tuepuke
kwanini shida iko wapi buda....basi hatutorudia tena....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kadoda sometimes you makes me think of how much time you invest on the response to anyones qn, you do a very good job!!sometimes so funny
 
hakuna nchi africa yenye watu wanaozungumza good english tena iliyonyooka kama tanzania...hilo usibishe tena yenye madaha

ukikutana na mtanzania anayeijua englisb vizuri na ukilinganisha na mkenya anayeijua english vizuri angali mmekua nacho ni tumewaacha sana kuna bonge la gape....

kama unabisha fuatilia kiundani.....mfano mzuri wewe bado haupo imara kwenye english ila waweza kujifanya bora...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…