Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,770
- 54,858
🤣🤣🤣 Wakenya mnazingua🤣 🤣 🤣 🤣
![]()
🤣🤣🤣 Wakenya mnazingua🤣 🤣 🤣 🤣
![]()
Kweli hamnunui😂😂😂Sisi hatununui upumbavu kama huu 🤣🤣🤣 au ndio unaona aibu sasa
Angalia tofaut ya magari hilo la mizigo hili la abiria yani linabeba fuvu za binaadamu 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇
🤣🤣🤣 nyie Kunyaland hebu kuweni serious basiMade in Kenya
![]()
Achanana na Wikipedia 😂😂😂👏👏👏👏😆😆😆👇👇
View attachment 2565141
Tazama kwa makini naujue kutofautisha gari la mzigo na gari la mzigo linalobeba binaadamu 🤣🤣🤣👇👇👇👇Now this is fabrication and for your information this truck is for Tanzania Tourism Board. It was fabricated by Banbros and finishing done by LSHS😂🤣😂😂
Wikipedia hii alikudanganya nani 🤣🤣👇👇Achanana na Wikipedia 😂😂😂
Bus production line-Vehicle Assemble
BUS PRODUCTION LINE & ASSEMBLY LINE Founded early, along with the vigorous development of Yutong Bus and growing, well-designed for the non-standard equipment, meet Yutong's rising productivity devehicleassemble.com
I told LSHS did the finishing and that is the finishing I was talking about. Just like most Tanzanite buses their finishings zinafanywa Kenya by LSHS😂😂😂Angalia tofaut ya magari hilo la mizigo hili la abiria yani linabeba fuvu za binaadamu 🤣🤣🤣🤣👇👇👇👇
View attachment 2565145View attachment 2565146View attachment 2565147
Naona anapinga. Hawa watu hadi wanaweza pinga Jua linatua magharibi. Ndio hizi kwao tumewatengeneaea. 🤣 🤣 🤣Now this is fabrication and for your information this truck is for Tanzania Tourism Board. It was fabricated by Banbros and finishing done by LSHS😂🤣😂😂
The good thing sio upuzi kwa serikali Yao😂😂😂🤣Naona anapinga. Hawa watu hadi wanaweza pinga Jua linatua magharibi. Ndio hizi kwao tumewatengeneaea. 🤣 🤣 🤣
Yani overland truck inayotumiwa dunia nzima sahii imekuwa upuzi kisa Wakenya wanaifabricate. 🤣🤣
View attachment 2565149![]()
![]()
Mm nazungumzia huu ushuzi na ndio nilichopost kwann unageuza mada au munaona aibu hata kama mm ningekua mtalii wallah kwa huu ushuzi sirudi kenya 🤣🤣🤣👇👇👇👇👇👇 hvi huyo mjapan anawachukuliaje ???I told LSHS did the finishing and that is the finishing I was talking about. Just like most Tanzanite buses their finishings zinafanywa Kenya by LSHS😂😂😂
Hzi zote ningari za south africa tena ni zamuda sana over 20yrs huko 🤣🤣🤣🤣🤣Naona anapinga. Hawa watu hadi wanaweza pinga Jua linatua magharibi. Ndio hizi kwao tumewatengeneaea. 🤣 🤣 🤣
Yani overland truck inayotumiwa dunia nzima sahii imekuwa upuzi kisa Wakenya wanaifabricate. 🤣🤣
View attachment 2565149![]()
![]()
Inayotumiwa dunia nzima na nani picha zenyewe zinaonekana ni za over 20yrs ago scania 113 ni ya leo hio 🤣🤣🤣🤣🤣The good thing sio upuzi kwa serikali Yao😂😂😂🤣
Blue bus you mean BRT au 🤣🤣🤣🤣🤣This bus walishindwa kumaliza wakaileta Kenya. The picture below shows how it was brought to Kenya and now the final outcome minus paintings 😂😂
View attachment 2565173
Watakuambia wanatengeneza basi kumbe those buses zinafanyiwa finishings na LSHS😂😂😂.
The front view after LSHS washafanya mambo.
View attachment 2565174
Kashaumbuka huko sasa kaja na id nyingine yani hawa watu mpaka maisha yao ni magumashi tu 😆😆😆😆 chakula wanachokula ni magumashi
Ndio hii basi Sasa hapa after imekula matope ya Arusha😂🤣😂Blue bus you mean BRT au 🤣🤣🤣🤣🤣
Hzo bus ni za nani ??? Au mama ngina 🤣