Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

So kumbe ni body builder also kama dar coach sasa unachoshangaa ni nn πŸ€£πŸ‘‡
Dar coach is a fabricator, AVA is an assembler. Know the difference. Ama ebu tuonyeshe any bus AVA wamefabricate nitike JF saa hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dar coach is a fabricator, AVA is an assembler. Know the difference. Ama ebu tuonyeshe any bus AVA wamefabricate nitike JF saa hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† na mkenge ukaingia wanguwangu
 
Dar coach is a fabricator, AVA is an assembler. Know the difference. Ama ebu tuonyeshe any bus AVA wamefabricate nitike JF saa hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Haya toka jamii forum sasa πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Siku hizi assembling in Kiswahili ni "kuundwa"?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚ Kuunganisha basi ni nini?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Haya niambie maana kuundwa na kuunganishwa tofaut yake nini?? Au nipe maana ya kuundwa leo unanifundisha kiswahili mimi 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hii screenshot ndio basi?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Nimekuambia unionyeshe picha ya basi yoyote wamefabricateπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 kazi anayofanya AVA haina tofaut na kazi anayofanya dar coach hio weka kwenye akili yako itakusaidia baadae
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 kazi anayofanya AVA haina tofaut na kazi anayofanya dar coach hio weka kwenye akili yako itakusaidia baadae
Dar coach ni kama zile kampuni za kutengeneza matatu huku Kenya πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Achana nae mama huyo wivu ndio unamsumbua tu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ba bado hashnagai export from tz to ke ni kubwa kuliko export yao kuja tanzania bado anawaza tanzania ya 90s ndivo walivodanaganywa na wanasiasa wao
They have got scrambled brains in those head cases.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…