Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo katiba yenu imeruhusu jambo la fujo na kuharibu Mali liwe linafanyika na kukubalika kisheria?.

Hebu onyesha Kama Tunisia walifanya fujo Kama hapo kwenu. Kwahiyo polisi kupiga watu risasi watu wenye kuandamana kwa amani ni jambo linalokubalika hapo failed state?

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kenyans dont follow, we lead. Mtanzania hawezi niambia lolote kuhusu maandamamno na huwa unaionea kwa TV za Kenya 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Protesting is your fundamental right because your demands are very basic. Imagine, living in a country where a decent meal a day is luxury.

Statistics show that, eight (8) our of every ten (10) Kenyans go to bed either hungry or never having had enough to eat. If I were one of the people living such a destitute life, I wouldn't have ended up running around the street like a madman and go to sleep hungry again.

Ndio maana nawaona nyie hamna akili! Hakuna chochote mlichokisolve zaidi ya kuumia na kuumizana.
 
Lakini you sound more of tribalist than even Kenyans. Our politics are shaped the way they are because of our origins. We are very proud of our 42tribes and that is not going to disappear even in 1000s years to come. The problem is when "politicians" use the masses for greedy self interest. But than doesn't mean Kenyans are divided.
 
Sio ustaarabu tu, na akili pia.
Akili gani huku umenyimwa media freedom na freedoms zingine za kimsingi?? We acha mwenye akili ni yule anayefahamu haki zake na yuko radi kupigania haki zake zisikue trumped upon. Eti watanzania ni wastaarabu na wenye akili kwa kutoandamana [emoji23]
 
Jamaa hawajui maandamnao ni nini kwa maisha. Hawajui kutawaliwa na chama kingine ni nini ni CCM tangu indepedence. Tanzania is a low key dictatorship 🤣 🤣 🤣 🤣
Unless you have zero idea of what is dictatorship.

Since independence, Kenyan politics, land and jobs in all governmental institutions have been under a full dominion of major tribes - Kikuyu and Kalenjin in particular.

Nitajie rais aliyetoka nje ya makabila hayo mawili tangu 1960s?
Mna hali mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…