Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alaf angalia ulivokua chizi yani data ya kenya unaleta 2020 na data ya tanzania unaleta 2016 🤣🤣🤣🤣 na hii nikuonesha kua hamujiamini kwenye ushindani ikiwa tanzania 2022 ime export cotton as raw material over 103m usd unategemea nguo zitauzwa kiwango gani ??

Yani tunauza raw materials + finishing goods kwa pamoja 😆😆😆

 
Kuna kitu unafaa ujifunze 🤣🤣🤣👇👇
View attachment 2558180
Umeona Kenya's textile industry inatengeneza internationally recognized designer brands sasa unatafuta pa kutorokea!😃😃

That first tweet you shared I have chosen to stick with textile since it was the bone of contention. In 2021, Kenya's total textile exports was valued at Ksh 33 billion ($330 million) wakati ya Tanzania was $121 (according to the same tweet you shared)

Kuhusu export value ambayo pia umeguzia kwenye hiyo tweet ya mwisho, Kenya's total product export value in 2020 was $6.52b

(about 6 times what you exported two yeas later in 2022 according to your own tweet)

Hii vita hauwezani bongolala. Stick to your empty rhetoric talk. That's what you are good at
 
Nimeshangaa tanzania unaleta data ya 2016 ila kenya 2020 alaf uko serious unataka ushindani 🤣🤣🤣🤣🤣 fikeni mahala mukubaliane na hali tanzania ni moto yani moto kweli kweli
 
Teargas njoo ulie sasa 🤣🤣🤣🤣🤣
Hizi sio anga zao.

Kufika level hzi unaitaji uchumi mkubwa wenye uwezo wa kuwekeza millions of dollars kwenye league ambapo nchi masikini kama Kenya, Uganda, Rwanda, Ethiopia, S Sudan, Djibouti, Malawi, Zimbabwe, Zambia, Mozambique, Burundi na nyingine hazina uwezo huo.

Waache wapambane na shibe kwanza!
 
ichoboy01 tunaelewana ama niachane tu na wewe?😂😂🤣🤣

From 2021 to 2023 leo hii mumepokea meli 19 ohhh GOD nilikua nasema mm hapa lamu port ni white 🐘🤣🤣🤣🤣🤣 yani kutoka 19th feb ndio munapokea meli 19th march

Tanga wamefungua bearth this month ishapokea meli tatu within two weeks 🤣🤣
 
Zanzibar wanasemaje? Ama tuite moderator akusaidie kujibu?🤣😂🤣🤣

Anyway our dear watchman The best 007 kanasemaje? Mwambie moderators wamesema watanichapa ban last year😂🤣🤣
 
Zanzibar wanasemaje? Ama tuite moderator akusaidie kujibu?🤣😂🤣🤣

Anyway our dear watchman The best 007 kanasemaje? Mwambie moderators wamesema watanichapa ban last year😂🤣🤣
Yani nimecheka mpaka basi nikisema white elephant unakasirika kutoka 2021 to date only 19 vessels hvi ww huoni hata aibu 🤣🤣 na nikisema ni white elephant unakuja juu unafura
 
Transshipment hub💪💪💪

Transshipment hub inapokea meli 19 kutoka 2021 to date 🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌🙌

Tanga within 2 weeks ishapokea meli tatu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…