Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tanga port is receiving boats not ships. Sasa vitu vya 100 meters pia ni kupigia watu kelele?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Tanga port is receiving ships. Sasa vitu vya 100 meters pia ni kupigia watu kelele?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 imeookea meli tatu kubwa mwezi huu sasa ni lini mara ya mwisho lamu imepokea meli yani ukipata jibu mm niwe mtu wakwanza plz

 
Nauliza tena swali ni lini mara ya mwisho lamu port imepokea meli ??πŸ˜†πŸ˜† tanga port ishapokea meli tatu mwezi huu alone

Ww zunguka lakini mwiba uko pale pale πŸ˜†
CMA CGM Cabu


MV Amu and MV Songa
 
Ukimwambia ni white elephant anakasirika tanga wamefungua bearth juzi tu ishapokea meli tatu mfululizo [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kitu napenda kuhusu ports za Tanzania huwa zinapokea meli zenye vitu vya maana.

Nchi zingine ni chakula na misaada ya chakula. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitu napenda kuhusu ports za Tanzania huwa zinapokea meli zenye vitu vya maana.

Nchi zingine ni chakula na misaada ya chakula. [emoji23][emoji23][emoji23]
🀣🀣🀣🀣🀣 meli nzima inaleta msaada wa chakula kutoka marekani na kwengineko alaf wanakwambia wao sio maskini ikiwa world bank wanaiona kenya ina umaskini imepitiliza kuliko zimbabwe
 
Kwa matokeo ya wiki hii CAF, timu za Sudan zishabolonga.. hawaingii Quarter Finals.. so Tanzania tunapanda hadi hapo nafasi ya nne
Hawa Sudan nilisema mm tutawashusha fasta, kwnz kwa hali inavyoenda hata timu zao tutakuwa tunazipiga sn tu mana timu zilikosa tu confidence, now zimesha gain confidence.
 
Meli za 100 metres peleka Lamu Tanga ni 170m kwenda juu
Lamu inapokea ships za 300 meters. Siku any of your ports will reach that milestone kuja tuongeeπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…