Sisi hatujazoea watu kufa hovyo kwasababu ya njaa au bandits, kwetu uhai ni muhimu kuliko umemeStable power ni mambo ya kijinga? Ama ni vile mmezoea blackouts mnadhani kila nchi blackouts ni basic need?[emoji23][emoji1787][emoji23]
No wonder Tanzagiza bado ni LDCπππSisi hatujazoea watu kufa hovyo kwasababu ya njaa au bandits, kwetu uhai ni muhimu kuliko umeme
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Alaf ajabu tanzania inapokea pesa nyingi za utalii kuliko kenya π€£π€£π€£
2021 πππimagine Tanzania being put in the same development category as Yemen, Afghanistan and Somalia? nahama hiyo nchi ya wazembe
Niambie siri ya nyie kupata iyo output kubwaMadini umetoka nayo wapi Sasa?[emoji3]
Huyo nyangβau kichaa kimeshampanda sasa, amebaki kusema hovyo hovyo tu.ππSisi hatujazoea watu kufa hovyo kwasababu ya njaa au bandits, kwetu uhai ni muhimu kuliko umeme
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Lamu port inapokea wavuvi π€£π€£π€£π€£
MY TAKE
Wapi Lamu Port?
Kwanini uhangaike na taarifa za kupika za hao mbwa while zipo taarifa za wizara ya kilimo Tz.?
wavuvi na wavivu! damn u Kundustans...!! Teargas , nairobae , Mashashola n NicxieLamu port inapokea wavuvi π€£π€£π€£π€£
So meli ya 188meters ndio kubwa kuliko zote?π€£π€£π€£π€£
MY TAKE
Wapi Lamu Port?
Tanzagiza has more poor than Zimbabwe.πππ€£
Zimbabwe ndio nchi maskini duniani sasa imagine unakutaka na habari hii unajiskiaje π€£π€£π€£ππππTanzagiza has more poor than Zimbabwe.πππ€£
Pambaneni na white elephant lamu port kwanza π€£π€£π€£π€£π€£So meli ya 188meters ndio kubwa kuliko zote?π€£π€£π€£π€£
Acha fujo kkKwanini uhangaike na taarifa za kupika za hao mbwa while zipo taarifa za wizara ya kilimo Tz.?
Wapi penye imeandikwa Zimbabwe ndio nchi maskini duniani?πππ€£Zimbabwe ndio nchi maskini duniani sasa imagine unakutaka na habari hii unajiskiaje π€£π€£π€£ππππ