Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwann asikosoe au hana haki and that was 2017 🀣 na sasa wanamtambua ni nani na africa inamjua ni nani vile vile

Unafananisha bibi wa over 40yrs na kijana wa 33yrs 🀣🀣🀣🀣🀣
Hiyo ni 2022 idiotπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚
 
Na diamond anajulikana na forbes mpaka IMDB wanamjua ni nani na dunia inamtambua ni nani 🀣🀣🀣🀣 ndio msanii anaeisumbua youtube africa
Mwisho wa siku kila mtu anajua Akothee ni richer than Diamond πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Hii ndio nyimbo kubwa ya akothee .. na ni kubwa kwasababu kuna diamondplatinumz humo ndani, akothee's most streamed and most viewed song in whole her music career. πŸ‘‡ . Teargas pita hapa .. ichoboy01 njoo ushuhudie nikichinja
 
Hii ndio nyimbo kubwa ya akothee .. na ni kubwa kwasababu kuna diamondplatinumz humo ndani, akothee's most streamed and viewed song in whole her music career. πŸ‘‡ . Teargas pita hapa .. ichoboy01 njoo ushuhudie nikichinja
Unafkiri hawajui hawa ni wivu na roho mbaya ndizo huwasumbua tu ww angalia trending list ya kenya youtube utaona top 5 kuna 4 from tanzania 1 from kenya 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…