The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Rudi shule, lugha zote zina tabia ya kukopa misamiati toka lugha zingine, mfano English imekopa misamiati mingi toka French pia Greek, kinachokuuma wewe ni kwamba Tz ina lugha yake ambayo inafaamika duniani just like English, Indus, Arabic, Greek, etcKiswahili is not a serious language to me. Mara kihindi, mara kiarabu. And sometimes even Portuguese words pia ziko ndani[emoji23][emoji23]
Yes, all the data I have checked from reliable sources say so. From WB to IMF and so onKwahiyo Tz inaizidi Kenya kwenye idadi ya maskini?
Hey watchman, Kiswahili sio lugha ya Tanzania.Rudi shule, lugha zote zina tabia ya kukopa misamiati toka lugha zingine, mfano English imekopa misamiati mingi toka French pia Greek, kinachokuuma wewe ni kwamba Tz ina lugha yake ambayo inafaamika duniani just like English, Indus, Arabic, Greek, etc
Hawa nyang'au hawajielewi. Tatizo ndio linaanzia hapo.Rudi shule, lugha zote zina tabia ya kukopa misamiati toka lugha zingine, mfano English imekopa misamiati mingi toka French pia Greek, kinachokuuma wewe ni kwamba Tz ina lugha yake ambayo inafaamika duniani just like English, Indus, Arabic, Greek, etc
Huyu mwamba itakua analipwa[emoji28]Umemuumbua [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii ni wapi?
Unapost vitu hujui, hiyo gorofa ya mwusho.🤣Iko wapi?
Iko wapi? NionyesheUnapost vitu hujui, hiyo gorofa ya mwusho.🤣
Ameedit. Alikuwa anewema Reserve Bank of Zimbabwe hapo.Zoom hilo jengo kwa juu limeandikwa Mwanga Tower. Lipo Dar es salaam, Tanzania.
Safari hii ndio utajua hujui[emoji1787][emoji1787]
Umeedit alafu unakuja na straight face eti iko wapi.🤣Iko wapi? Nionyeshe
shule zaidi ya 1000 mpya zinajengwa vijijini interiors kwa quality ambayo hapo Nairobi haipoSEEMS LIKE NDIO MNAJENGA SHULE HUKO BONGO......WITH ZERO AESTETHIC