Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakati huo huo husikilizi mziki mwingine zaidi ya Bongo fleva, kwanza mziki wenu unaitwaje mana me siujui [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bongo flavor ndio gari ya kuenda wapi?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
So ww unataka kutuambiwa kiswahili ni lugha ya wapi ?? Au unaumia kuskia kiswahili asili yake ni tanzania ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ati asili ya Kiswahili ni Tz?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Wewe lala bana, your stupidity will chock you๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Kiswahili ni lugha iliokusanya asili nyingi sana sio kiarabu tu ?? Manake ukisema dunia ni neno la kiarabu na dunia ni neno la kihindi pia so??
Meaning Kiswahili is not an African language. Kiswahili is combination of borrowed words confusedly added together.
 
Ati asili ya Kiswahili ni Tz?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Wewe lala bana, your stupidity will chock you๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Kama asili yake sio tanzania basi tafuta kiswahili kilizaliwa wapi na ukipata hio nchi unitag๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ na labda umesahau tu tanzania ndio inapelekea kiswahili kizungumze africa nzima uganda, rwanda, congo , burundi etc wanaongea kiswahili kupitia jitihada za tanzania
 
Meaning Kiswahili is not an African language. Kiswahili is combination of borrowed words confusedly added together.
Sasa kuzaliwa kwake ni africa tanzania na ni lugha inayotumika tanzania kwa asilimia 100 hakuna nchi inatumia kiswahili kwa asilimia 100 zaidi ya tanzania ukiipata hio nchi nitag๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Rwanda na Burundi ni Africa nzima?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Kiswahili is not an African language let alone Tanzania.๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ