Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekuambia ingekuwa Kuna ranking ya ujinga wewe ungekewa mshindi. There are so many types of shades, this is one of them na hile ingine pia ni shade. Hata miti pia inatengeneza shadeπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
So show us hzo types za shade tuzione hapa🀣🀣🀣🀣 na ukipata ni shade nitag wakwanza mm
 
Kama wao haijawasaidia sasa anataka mimi niongee kiswahili mufti ili iweje? πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwanza kiswahili is not even an African languageπŸ˜‚. Kiswahili is a mixture of Arabic, Portuguese and Bantu.
 
Unaongelea akili ya kitumwa wakati unatumia kiswahili kuwasiliana?[emoji23][emoji23][emoji23] Kiswahili is a corrupted Arabic language[emoji23][emoji23].
Asilimia 65 ya Kiswahili ni kibantu
Nyinyi ndio watumwa ambao mnakitukuza Kiingereza
 
Asilimia 65 ya Kiswahili ni kibantu
Nyinyi ndio watumwa ambao mnakitukuza Kiingereza
Kama wewe sio mtumwa mbona unaendelea kuabudu miungu wa wazungu na warabu? What happened to your African gods?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwanza kiswahili is not even an African languageπŸ˜‚. Kiswahili is a mixture of Arabic, Portuguese and Bantu.
Twende taratibu bila hasira 🀣🀣🀣naomba rudi kwenye mada plz
 
Kama wewe sio mtumwa mbona unaendelea kuabudu miungu wa wazungu na warabu? What happened to your African gods?[emoji23][emoji23][emoji23]
Mungu sio wa mzungu lakini Kiingereza ni cha mzungu
 
Kusoma pia hujui?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wewe Sasa utasaidiwa aje?πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣dodoma station ndio station ya kwanza ya kisasa treni kuingia ndani ya jengo in east and central africa
 
Mziki zenu ni za kusimp with one genre. Here were talking about hip hop, dance hall and other international genre.

When it comes to dancehall music, there's no African that can come close to Redsan.

Wakati huo huo husikilizi mziki mwingine zaidi ya Bongo fleva, kwanza mziki wenu unaitwaje mana me siujui [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Did Africans know about Jesus before colonization? Did they know about Mohammed before arrival of Arabs? You Tanzanians are very confused [emoji23][emoji23][emoji23]
We left our religions then we followed the Whites' and so did you.
But we never left our language
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…