Kuna wakati ulielezwa na mkenya mmoja hapa ndani late last week kama sijakosea kwamba this is relative poverty, not absolute poverty. Relative poverty varies from one country to another depending on the economic conditions of that specific country, and occurs when your income falls below your country's national median income. Kwa mfano, Tanzania can set her relative poverty at $2 while Kenya sets hers at $1.8. That's why kwenye hiyo map, Tanzania is ahead of countries such as South Africa and even Egypt and at par with certain European countries. Swali ni je, kuna masikini wengi Misri kushinda Tanzania? The answer is obvious. A person who lives below the relative poverty line in the US, for example, can be considered rich akija Kenya ama Tanzania.Okay, na hii hapa ya recent umeiona?
Poverty Rate by Country 2026
Comprehensive overview of the poverty rate by country measured as the percentage of the population living below the national poverty line, including what is number one country in poverty.worldpopulationreview.com
Zoom hilo jengo kwa juu limeandikwa Mwanga Tower. Lipo Dar es salaam, Tanzania.Hadi mnaiba gorofa za Harare Zimbabwe [emoji1787][emoji1787]
Karukaruka kaangukia hapa 🤣🤣🤣👇👇👇Okay, na hii hapa ya recent umeiona?
Poverty Rate by Country 2026
Comprehensive overview of the poverty rate by country measured as the percentage of the population living below the national poverty line, including what is number one country in poverty.worldpopulationreview.com
Kuna wakati ulielezwa na mkenya mmoja hapa ndani late last week kama sijakosea kwamba this is relative poverty, not absolute poverty. Relative poverty varies from one country to another depending on the economic conditions of that specific country, and occurs when your income falls below your country's national median income. Kwa mfano, Tanzania can set her relative poverty at $2 while Kenya sets hers at $1.8. That's why kwenye hiyo map, Tanzania is ahead of countries such as South Africa and even Egypt and at par with certain European countries. Swali ni je, kuna masikini wengi Misri kushinda Tanzania? The answer is obvious. A person who lives below the relative poverty line in the US, for example, can be considered rich akija Kenya ama Tanzania.
In most cases, absolute poverty is what is used in measuring poverty rates in different countries
The most accurate parameter in determining poverty is absolute poverty. Currently, the universal standard for measuring global poverty is the international poverty line, which is set at $1.9 and cuts across all countries.
I hope this has answered your question
Tofauti ni nini hapa?😂😂😂Canopy ndio hua inajengwa hvo ??🤣🤣🤣 kwan wivu wako unauzwa shs ngap?
Wewe kiingereza hukielewi. Kuwa mpenzi mtazamaji si vibayaKarukaruka kaangukia hapa 🤣🤣🤣👇👇👇
Hebu tazama hzo picha mbili kwa akili yako ya kuendea chooni ziko sawa ??🤣🤣🤣 au ww kwasababu umeona chuma hzo ushajua ni canopy??
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 umerukaruka weee mwisho umeramba vumbiWewe kiingereza hukielewi. Kuwa mpenzi mtazamaji si vibaya
Huyo haelewangi anything written in English. Hajui hata canopy ni nini and he's so fast in making a lot of noise
Hata ww hujui tofaut ni nn hapo hebu tofuta canopy yenye muundo kama huo dunia nzima ukioata let me know 🤣🤣🤣🤣Huyo haelewangi anything written in English. Hajui hata canopy ni nini and he's so fast in making a lot of noise
Usinililie Mimi😂😂 I'm not the one building that canopy. Yani kuweka tu mabati inawachukua miaka mitatu😂. Kwanza canopy enyewe ni 5 metres, so sijui faida yake ni nini hapo.Hebu tazama hzo picha mbili kwa akili yako ya kuendea chooni ziko sawa ??🤣🤣🤣
Kwani kuelewa Kiingereza ndio nini?Wewe kiingereza hukielewi. Kuwa mpenzi mtazamaji si vibaya
Hii munaitaje kwa kilugha chenu 🤣🤣🤣🤣Usinililie Mimi😂😂 I'm not the one building that canopy. Yani kuweka tu mabati inawachukua miaka mitatu😂. Kwanza canopy enyewe ni 5 metres, so sijui faida yake ni nini hapo.
Huyo hananga akili ya kureason. I pity his children if that's the genes that he will pass to them. Jamaa is dump😂😂Huyo haelewangi anything written in English. Hajui hata canopy ni nini and he's so fast in making a lot of noise
Yani ndio anakua kasoma hvo yani msomi🤣Kwani kuelewa Kiingereza ndio nini?
Angeelewa hangebisha kwamba ile sio canopyKwani kuelewa Kiingereza ndio nini?
🤣🤣🤣 lazma umichukie kwasababu hua sikuachi salamaHuyo hananga akili ya kureason. I pity his children if that's the genes that he will pass to them. Jamaa is dump😂😂
This is just a shade, nothing special here.
🤣🤣🤣🤣🤣 not a canopy tena???This is just a shade, nothing special here.
hangebisha=asingebisha.Angeelewa hangebisha kwamba ile sio canopy
Yani ulivo bwege ni vile ukiona vyuma basi ni canopy mara sijui ni 5meters hvi hata uwe na wivu gan hapo kweli unaeza sema 5meters 🤣🤣🤣🤣🤣🤣This is just a shade, nothing special here.