NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,295
- 19,645
Wewe tazama picha mlichopost nifananishe na ninachopost ukweli unadhibitika. Hadi wewe mwenyewe unaweza Enda Google maps, fananisha ISK na IST alafu uniambie gani iko juu.Whatever.
Huo utabaki kuwa mtazamo wako kwa sababu hauna ushahidi wowote kuthibitisha unachokiongea.
Nimeziangalia, kuna zenye nimeona ni poa Ila nyingi ni vumbi. Yani mnaenda na quantity over quality. From my assessment, sector ya shule hamtuwezi - iwe international schools, private schools ama public schools.Rudi juu uziangalie tena. Kuna shule nyingi sana tulizipost baada ya ww kukimbia. Utaona shule nyingi tu hazina vumbi
Rudi juu uziangalie
Huko tutawamaliza[emoji38][emoji38]Nafikiri tugeukie shule za Government sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilianza na government, wewe mwenyewe ukaniambia twende international schools, nimeingia international Tena wewe huyo unasema turudi government.🤣🤣Huko tutawamaliza[emoji38][emoji38]
Hivi ukitoa ka Nairobi huko kundustan kuna international School county nyingine? Mana Kenya kila kitu ni Nairobi tu, wameiharibu sn nchi yao hawa jamaa.Iringa International School [emoji731]
Wakunya wakiona wazungu ndio wanaona hiyo shule ina standards [emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 2548856View attachment 2548857View attachment 2548858View attachment 2548859View attachment 2548860View attachment 2548861View attachment 2548862View attachment 2548863View attachment 2548864View attachment 2548865
😂😂😂😂😂 kichapo watachopata hawataaminiNafikiri tugeukie shule za Government sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
My school 😎, Enzi hiyo nimepiga banda kadhaa hapo na Tuition ya Mchikichini Mbuzi area 🤣Ngoja huyu jamaa nimtoe tongo tongo sasa. Najua nikianza kuweka vitu atakimbia
Benjamin William Mkapa High School
Nimezihesabu picha zote tulizopost tangu ulivyokimbia battleNimeziangalia, kuna zenye nimeona ni poa Ila nyingi ni vumbi. Yani mnaenda na quantity over quality. From my assessment, sector ya shule hamtuwezi - iwe international schools, private schools ama public schools.
Watoto wa Daslam ndio shule yenu iyo...My school 😎, Enzi hiyo nimepiga banda kadhaa hapo na Tuition ya Mchikichini Mbuzi area [emoji1787]
Kumbe ulisoma Mchikichini kwa kina Sir Hidden, Moody Physics na Mbuga? Mm pia nilisoma kwa hao mafundi, nilisoma pale Azania Secondary School enzi mwalimu mkuu mzee Kwayu, hana baya mzee yule.My school 😎, Enzi hiyo nimepiga banda kadhaa hapo na Tuition ya Mchikichini Mbuzi area [emoji1787]
Sijakimbia battle mkuu, sina wakati wa kupost siku nzima humu. Ikumbukwe niko pekee yangu wakati mpo kama watano hivi. Ila ukiangalia picha zote nilizopost ni shule safi na high quality. Wengine wenu mnapost tu picha kujaza nafasi mkiona sipost eti sasa mmeshinda. At least angalia picha ya shule niliyopost, fananisha na shule ya hadhi same hapo, analyze and make a conclusion. Kwa mfano, ISK na IST - ingia mtandaoni mwenyewe, angalia Google maps sio eti napost ISK alafu mnajaza shule kama 10 vumbi tupu alafu eti hivo mmeshinda na nimekimbia ligi. 🤣 🤣Nimezihesabu picha zote tulizopost tangu ulivyokimbia battle
Baada ya hapo tuliendelea tukapost picha 141 na kati ya hizo ni picha 19 tu ndio zilikuwa na vumbi huku picha 122 hazikuwa na vumbi.
Sasa nashangaa wewe unasema nyingi umeona ni vumbi tu.