Yes, and indeed will be the deepest pond in Africa.[emoji1]sawa tutaona kama itakua pond ya kuzalisha samaki,only time will tell
Process ikwapi tuone mbona avic munaoneshaππMzae siku hizi umekua mshenzi kama chooboy, kila kitu unapinga na unajua kipo kwa process za kupaa sasa
Kipigowakati ukiendelea kutoa povu la kujifariji,acha nikudunge sindano nyingine.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaha Hii kaliHilo jengo hadi limalizike ni 15years, hawa wakora jf watakuwa washazeeka kutokana na ugumu wa maisha walionao.
Wapi ujenzi msee mbona avic hamuulizwi munapost wapi ujenzi kama huna basi asante kwa renderπππmjengo huu umekosesha watanzania amanihaya basi jengo lenyewe halijengwi, na wala halitojengwa...tulieni sasa msije mkapatwa na heart attack jengo lime stall...
nimeshakwambia jengo halijengwi...unalia lia nini tena?? why panic?Wapi ujenzi msee mbona avic hamuulizwi munapost wapi ujenzi kama huna basi asante kwa renderπππ
Barabara zimeparara sana..bongo
Barabara zimeparara sana..
shida ni mchanga nyeupe ya pwani ama?
henu nyoosha maneno yako kwanzaπππππBarabara zimeparara sana..
shida ni mchanga nyeupe ya pwani ama?
thanks for renderπππππππnimeshakwambia jengo halijengwi...unataka nini tena?? why panic?