Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kisu cha ngariba kimekuingia mahala.
umetoa povu zito sana.hongera.[emoji23]
 
licha ya kwamba umejiaminisha kuwa wametuzidi,umewahi kujiuliza kwanini huwa wanapatwa na wivu sana tanzania inapoanzisha au inapokamilisha mradi wowote mkubwa?.

mfano sgr yetu ambayo ujenzi wake umeshaanza(hata hapa huwa wanatoa povu),mradi wa bomba la mafuta toka hoima uganda to tanga tanzania,siku lilipozinduliwa daraja la kigamboni,mradi wa mabasi yaendayo kasi(BRT) nk.

kama utabisha kuwa wakenya hawajawahi kuonyesha chembechembe ya wivu kwa tanzania kufanikisha miradi niliyokuorodheshea,nitaleta ushahidi.
 
Kenya does not feel jealous of TZ...its like feeling jealous of your small bro.. .does not make sense...Kenya feels jealous of SA and Morocco..they hav the fastest trains in Africa...they also have the highest tourist numbers in the continent...they have bigger GDP figures...TZ doesn't have even one of those things..isitoshe, you are still suffering from LDC disorder
 
wakati ukiendelea kutoa povu la kujifariji,acha nikudunge sindano nyingine.[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nimesubiri sindano ya hivi majuzi kumbe ni hekaya za abunwasi za kitambo kuhusu pipeline leta jipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…