Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Which road is that from Mombasa to busia that has potholes. ...smh. ama there is another Kenya that we don't know of
 
Tatizo povu. haya angalia na hesabu , unasema tractor kwani hilo shamba 😀😀😀😀 au ulidhani tunalima ufuta.

Sasa hesabu hizo tractor zako kwenye hizi videos








you have nailed it to the cross comrade...keep up the good work.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Tatizo povu. haya angalia na hesabu , unasema tractor kwani hilo shamba 😀😀😀😀 au ulidhani tunalima ufuta.

Sasa hesabu hizo tractor zako kwenye hizi videos








Hawa jamaa wa Kenya wanadhani tunatania. Asante sana kwa kuwaonesha mambo yanavyoendelea.
 
sawa mnajenga reli ya umeme...ndio mnaimba imba kana kwamba ndio reli ya kwanza duniani...tulieni ndugu zangu mwache ushamba...reli ni jambo la kawaida tu...leo hii, hamna mkenya ambaye huongelea reli...watu walishasahau na wanaendelea na maisha yao..nina uhakika mambo ni hayo hayo kule ethiopia..
 
Naona hako ni kapovu kiwango cha lami.

Mambo haya ndugu


Achana na haya
 
mbona nyie mlikuwa mnapiga domo kama chiriku ...kuweni wapole .hapa ...kwa sasa mtuache na ikiisha tuna mpango wa kuanzisha jiji jipya ambalo litakuwa juu ya anga[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
mbona nyie mlikuwa mnapiga domo kama chiriku ...kuweni wapole .hapa ...kwa sasa mtuache na ikiisha tuna mpango wa kuanzisha jiji jipya ambalo litakuwa juu ya anga[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
tulishangilia ndio ila baada ya miezi minne sasa maisha kama kawa...kushangilia vitu ambavyo vimekuwa miaka na mikaka....USA China, Europe Brazil walikuwa na hizi treni 1980s..imagine wazungu, waturuki ama wachina wakianza kusherehekea eti kisa wanajenga reli...si tutawaona wajinga ama washamba! thats the same thing here
 
naona fuso imechorwa na kabendera kakenya kidogo hapo kwa mbele ......wakenya mnambwembwe....[emoji13] [emoji13]


[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…