Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na huwe kuskia hata watu wakiongea tanzania kwasababu gari kama hzo zimezoleka kwa sasa 🤣🤣🤣🤣 ukumbuke ni mbili tofaut hzo DXT and number EAT

Leo umekosa content kabisa, nimekupiga kama mbwa hadi unatuonyesha Ford Everest. 🤣🤣🤣 Ona Bentley brand new wachana na Mercedes gari ya kawaida.


 
Unataka kucompare Bentley gari inabeba King of UK na Ford Everest, ndio maana wewe ni pumbavu.
Nimekuuliza is that everest 2023 🤣🤣🤣 matusi mapovu ya nn budaa mm nimekuuliza is that everest 2023 au umetafuta umeikosa kenya sasa ishakua mbaya tu
 
Unataka kucompare Bentley gari inabeba King of UK na Ford Everest, ndio maana wewe ni pumbavu.
Mm nakushauri kitu na uzingatie watanzania ni watua wanaopenda sana vitu vizuri yani hamuwezi shindana na watanzani kwa vitu vizuri na kwa kumiliki vitu vizuri

Ndio maana hata dada zenu wanapenda sana swaga za vijana wakitanzania na hii alinambia demu mmoja nilikutana nae kwenye shisha mombasa alintamkia live kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…