Itafute kwanza alaf utuoneshe hio ford everest ya 2023 ukipata unitag 🤣🤣🤣🤣Na mtu anatuonyesha Ford Everest bila aibu. 🤣🤣🤣
Na huwe kuskia hata watu wakiongea tanzania kwasababu gari kama hzo zimezoleka kwa sasa 🤣🤣🤣🤣 ukumbuke ni mbili tofaut hzo DXT and number EATichoboy01 Mwarabu bandia kuja uone zingine za kuenda Congo, Ethiopia na Uganda. 🤣 🤣 🤣 🤣 Leo nimeamini wewe hua pumbavu walai.
Na hio ni ford everest 2023
Ukipata ina registartion ya kenya unitag plz 🤣🤣🤣🤣🤣 simple and clear
Wakenya wanapenda kujipa shughuli sana wanapenda vita na kila nchi sio tu nigeria wakat mwengine mpaka uganda na tanzania ndio number moja wao kwa vita🤣🤣😀😀 vita ya 🇰🇪 vs 🇳🇬