Huu ni mji Ama uswazi? πππππIs there any Kunyaland City to match with Morogoro Municipal Outside Nairobi and Mombasa?
Morogoro is not a City mind that but is π₯π₯π₯View attachment 2526515View attachment 2526516View attachment 2526517View attachment 2526518View attachment 2526519
Tanzania hakuna ukabila wala njaaTanzania hakuna ukabila?
Tanzania hakuna rushwa?
Tanzania hakuna njaa?
Tanzania hakuna crime?
Tanzania hakuna wizi wa kura? It's even funny you forget what happened in your last election!
Tanzania gharama ya maisha haijapanda?
Kujiliwaza hamjambo
Kwani Tanzania Kuna katiba mpya?, Nchi yenye katiba mpya haipaswi kuwa na hayo yote, Sasa mliandika katiba mpya Ili mzidi kuwa na matatizo zaidi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tanzania hakuna ukabila?
Tanzania hakuna rushwa?
Tanzania hakuna njaa?
Tanzania hakuna crime?
Tanzania hakuna wizi wa kura? It's even funny you forget what happened in your last election!
Tanzania gharama ya maisha haijapanda?
Kujiliwaza hamjambo
Chizi huyo, anajua Kila kitu kwamba Tanzania ipo vizuri katika hayo niliyoyataja kushinda Kenya yenye katiba lao bovu(Mpya), wako hapa kutupigia kelele kuhusu katiba mpya ambayo haijawasaidia lolote zaidi ya kutengeneza nafasi za wanasiasa nyingi ambazo zimekua ni mzigo kwa wananchi wa kawaida.Tanzania hakuna ukabila wala njaa
Hii kitu inakuja kuwa game changer! Na haitoshi. At least wangeoda 3 hivi. Maana trade with the fat east plus trade with Europe. Halafu hiyo connection tu ya hapa hapa Africa! Sio mchezoAir Tanzania 767 300F View attachment 2527374
Sisi ndio baba yao Africa. Tangu Uhuru sisi ndio tulikua tukipanga nane atawale wapi or tunamtengenezea coup kama ilvyokuwa huko Seychelles na kwingineko.
Hizo zingine?Tanzania hakuna ukabila wala njaa
Wewe ni pimbi tu. Crime iko hata US na UK na uko hapa kutupigia kelele. Yani wewe unadhani hii Tanzania yenu ni heaven on earth!Kwani Tanzania Kuna katiba mpya?, Nchi yenye katiba mpya haipaswi kuwa na hayo yote, Sasa mliandika katiba mpya Ili mzidi kuwa na matatizo zaidi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo UK na US zote zimefeli tu.. paper tigers they are no longer that powerful.Wewe ni pimbi tu. Crime iko hata US na UK na uko hapa kutupigia kelele. Yani wewe unadhani hii Tanzania yenu ni heaven on earth!
Of course Tanzania is more powerful than them ndio maana Tanzania hakuna crime πHiyo UK na US zote zimefeli tu.. paper tigers they are no longer that powerful.
Katiba mpya ya kenya inapelekea Odinga na wakenya kuhaha na kuomba ushauri wa Tanzania kiuchumi na kisiasa.Kwani Tanzania Kuna katiba mpya?, Nchi yenye katiba mpya haipaswi kuwa na hayo yote, Sasa mliandika katiba mpya Ili mzidi kuwa na matatizo zaidi?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona wasiwajengee masoko proper?Hizi sio parking slots markings [emoji16][emoji16] ni business frames [emoji23][emoji23][emoji23]
Wakunya na kuchora chini kama brt vile [emoji1787]
View attachment 2527607View attachment 2527608