Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You must be dumb if you think Tz is the only country with future uncompleted major infrastructure projects. I can't start to name Kenya's projects here, they're too many
Projects zenu huwezi fananisha na za Tz, nyie projects zenu za kipumbavu na hazina malengo ya kumkomboa mwananchi, zote zimekaa kisiasa, mention even one project that you think was established so as to serve common mwananchi. All your projects are there to serve politicians interest and investors start from lamu port, SGR, expressway, Konza city etc thus y majority Kenyans fail even to satisfy themselves with daily basic needs like food and shelter.
 
2026 lazima tuwakalishe japo utajiri wa GDP ya makaratasi umeshindwa kuwaondolea njaa 😜😜

Mnapigwa mchana kweupe 🤣🤣View attachment 2527205
unadhani Kenya tunaficha habari kama danganyika? Vyombo vya habari kenya vina freedom ya kukososa serikali sio kama vya kwenu danganyika kila siku ni misifa tuuu za CCM na nchi inaendelea kuongoza kwa umaskini 🤣 🤣 na kuexport beggars Kenya.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkenya akiamka asubuhi na uhakika wa kula Githeri ndiyo upuuzi unaotuletea humu. Ni nani alifanya hiyo reseach to come up with this nonsense?
We enedelea kubisha kwa mdomo badala ulete source ya kupayuko kwako

 
Hii ni investment ya almost Tsh 320 bil (one Tanzanian company) huko kenya. Last time I heard that the total investment of over 100 kenyan companies in Tanzania was around Tsh 500 bil

Pitien hapa muone list ya directors wa hii company inayohusika na LPG cylinders manufacturing. Ndo mana Odinga now anatapatapa
 
wewe unatumia source gani amabayo inakwambia kua upperhill sio the richest square mile in East and Central Africa? au wivu ndani ya kichwa chako ndio source?
 
Kenya inaongoza ku export house workers, Tribalism, hungry people to other nations[emoji23][emoji23]
 
wewe unatumia source gani amabayo inakwambia kua upperhill sio the richest square mile in East and Central Africa? au wivu ndani ya kichwa chako ndio source?
How does it help majority of Kenyans who strive to get a kilo of unga for their survival?

Angalia mlivyo wajinga, mnasherehekea mambo ya kijinga na kuacha mambo ya msingi Kama hata
 
You must be dumb if you think Tz is the only country with future uncompleted major infrastructure projects. I can't start to name Kenya's projects here, they're too many
If you got balls taja hapa miradi iliyopo kenya yenye economic impact tulinganishe.
 
Banks zetu bado hazija exhaust market yote ya Tanzania kupelekea kuanza kutoka nje. The financial market here is very huge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…