ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,456
- 89,879
π€£π€£π€£π€£ππππMost expensive square mile in East and Central Africa
CCM bado wanaiba endelea kufuata ya Kenyaπ€£π€£π€£π€£ππππ
In deed expensive
People Daily - Kenya latest news, business and politics
Peopledaily.digital provides kenya news, expert analysis, and updates on global events, technology, business, and culture to keep you informed.www.pd.co.ke
Nchi ya kenya ni nchi ya mafisi. Hakuna utaratibu.CCM bado wanaiba endelea kufuata ya Kenya
Hakuna wizi hapo ni mihemko Yako tuu.,Wizi uko Kunyaland Katiba Mpya haijawasaidiaCCM bado wanaiba endelea kufuata ya Kenya
Hii ndio tangu zamani au zamani yako ulikua unaizungumzia ya 1960 au π€£π€£π€£π€£π€£ kwan ww unafkiri hio china iko toka mwaka gani ????Mbishi sana wewe.
Moscow
Dortmund
Hadi Nigeria wanayo
And still your citizens die from hunger[emoji23][emoji23]Most expensive square mile in East and Central Africa
Kama unadhani hizo prediction ndio zitatokea kweli, kama ulivyoonesha hapo then bado haujaijua Tanzania vizuriGDP per capita bado itakua double yenu na uchumi wetu bado utakua mkubwa by $35b+. Na hizi ni predictions tu which may never come to pass. What makes you think Kenya wont change leadership?
View attachment 2526815
View attachment 2526814
Kenya ni tajiri kuliko Tanzania. Tz Hamna njaa, ardhi mnayo kubwa, madini yako.... shida ni gani mnakua maskini ivi hadi kuja kuomba omba Kenya kwa barabara?Hakuna wizi hapo ni mihemko Yako tuu.,Wizi uko Kunyaland Katiba Mpya haijawasaidia
Uchumi wa tanzania umeshikiliwa na waarabu+wakenya. Ndio maana akina KCB, NCBA, EQUITY wako kila mahali tanzania lakini wakenya hawajui ata benki moja ya tanzania ambayo inapiha shughli huku. Wanainchi watanzania wanaomba omba kenya kwa barabara lakini huwezi kupata mkenya tanzania akiomba omba heri afe njaa huku Kenya.Kama unadhani hizo prediction ndio zitatokea kweli, kama ulivyoonesha hapo then bado haujaijua Tanzania vizuri
Wakati sisi tuko na real economy ambao effect yake inaonekana on ground na mega projects tulizoanzisha, nyinyi mko na fake economy tena on paper with almost zero effect on ground ndio maana wananchi wenu wanakufa kwa njaa.
Kama unadhani Kundustan ni tajiri kuliko Tanzania unajidanganya. Huwezi ku-compare uchumi ulioshikiliwa na Waafrika wenyewe vs uchumi ulioshikiliwa na mabeberu
Yeap but we still richer than Danganyika in every aspect measurableAnd still your citizens die from hunger[emoji23][emoji23]
2026 lazima tuwakalishe japo utajiri wa GDP ya makaratasi umeshindwa kuwaondolea njaa ππKenya ni tajiri kuliko Tanzania. Tz Hamna njaa, ardhi mnayo kubwa, madini yako.... shida ni gani mnakua maskini ivi hadi kuja kuomba omba Kenya kwa barabara?
Shida ni watu wenyeweKenya ni tajiri kuliko Tanzania. Tz Hamna njaa, ardhi mnayo kubwa, madini yako.... shida ni gani mnakua maskini ivi hadi kuja kuomba omba Kenya kwa barabara?