drought is a natural predicament and doesnt have anything to do with the govermentWapi wanakufa kwa njaa?, Can a person with better life starves to death?, Who is a normal person in Kenya, the ones who lives in Nairobi and Mombasa or those 6M Kenyans who are starving currently?[emoji1787][emoji1787]
safari za kikazindugu ulipotelea wapi hahahahahaaaaaaaaaaaaaaa
we lead you follow🤪🤪 Wakati wakosubiria hizo porojo sie tuko mbio kwenye serious investment forums,
Sasa hapa kuna nini kipya? Hizi zipo tangu 1970s kama sio 1960s. China ndio kachelewa na uzuri wa kuchelewa unajenga bora zaidi ila technology hio kaikuta.China hana technology kuliko west haya tufungue macho tujionee tuondokane na propaganda za wazungu 🤣🤣🤣🤣
Na ile reli yenu ya Nairobi bado hawajajenga sasa wapo ktk viwanja, hakika mtegemea cha ndugu hubaki maskini.
Countries which are mostly affected by drought in the world are Arabic countries, look what they are doing to protect their people from hunger.drought is a natural predicament and doesnt have anything to do with the goverment
Mpaka mrekebishe hasara imeshakuwa kubwa 5 years is a lot kwa economic cycle.tutarekebisha tu... katiba inatulinda against tyrants
As of 2022 we are self sufficient on cement.Outdated data ,walau zingekuwa za 2022.
Tanzania [emoji91][emoji91]
But any country with GDP kubwa should have contingency plans for mitigation of drought related consequences.drought is a natural predicament and doesnt have anything to do with the goverment
Wacheni hao jamaa wawafyonze hadi akili zenu ziwakae sawa😂😂😂Ruto na Gachagua ni shida.. ...
Wacheni hao jamaa wawafyonze nyie nyang'au hadi akili zenu ziwakae sawa😂😂😂
who said the goverment aint doing so?? do you think feeding 6m people plus there cattle is a walk inthe park? concidering our sourc of goverment revenue is heavily dependant on tax since we dont have minerals and suchBut any country with GDP kubwa should have contingency plans for mitigation of drought related consequences.
Ww mwehu kabisa saud arabia ni 100% jangwa lakini hujawah kuskia wanahangaika na njaa nani aliwalaani mpaka mukaamini drought is natural kwenu ni kila mwaka lakini 🤣🤣🤣🤣🤣drought is a natural predicament and doesnt have anything to do with the goverment
No, si maanishi eneo la installation, ni eneo lote hilo likiachwa litageuza sura ya eneo zima kuwa utopolo 😎, Hilo eneo limeachwa muda mrefu angalia uchafu kwa kwenye hizo chuma foreground (rightside)Shida unachukua pic ya waki install that yellow foot bridge ebu tafuta latest pic
Kaikuta kwa nchi gani naomba ushahidi plz 😆Sasa hapa kuna nini kipya? Hizi zipo tangu 1970s kama sio 1960s. China ndio kachelewa na uzuri wa kuchelewa unajenga bora zaidi ila technology hio kaikuta.
Kwahio unataka kusema China ndio kaanzisha hio technology? Just Google utaona.Kaikuta kwa nchi gani naomba ushahidi plz 😆
Tanzania can never overtake Kenya GDP even in the next 50 years. Again Kenya's economy at this point is not pegged on politics. We have a good constitution and independent institutions. Anybody can lead and Kenya's economy will still be the largest in East Africa. Sio kama Tanzania hamjui maendeleo bila CCM tangu 1961Mpaka mrekebishe hasara imeshakuwa kubwa 5 years is a lot kwa economic cycle.
Kunyaland jifunzeni matumizi sahihi ya GDP,we lead you follow
Tatizo la njaa Kenya ni toka 1963, hivi Sasa linaongezeka kutokana na kuongezeka kwa idadi ya watu na wanyama na "Climate change".who said the goverment aint doing so?? do you think feeding 6m people plus there cattle is a walk inthe park? concidering our sourc of goverment revenue is heavily dependant on tax since we dont have minerals and such