joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]The only double stacked SGR in Africa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kukarabati na kununua kipya ipi nafuu?Nimesikia songoro alitender bln 10 na kunyani walitender bln 7 but
Kuna account fulani inafanana na mwandiko wako huu.
Hili limejengwa awamu ya tano mbona
Acha kujifurahisha kijana double stack ya umeme inayoenda kasi iko Tz tuu.The only double stacked SGR in Africa
Una hangaika sana ,wenzako walihangaika hivyo Toka zama za Jiwe,wakaweka Hadi picha na hakuna kilichobadilika Hadi Sasa.Hizi account zina tabia inafanana.
Bado moja nitaiweka hapa
View attachment 2520323
View attachment 2520324
Kuna mradi awamu ya 5 iliwahi ukamilisha? Hadi stand ya Magufuli licha ya kuzinduliwa inaendelea na Ujenzi Hadi kesho [emoji2957][emoji2957]Hili limejengwa awamu ya tano mbona
Mwambie Simon akupe zote,wewe unafanya marudio tuuKuna account fulani inafanana na mwandiko wako huu.
Kuna account tatu. Naendelea kuunganisha. Unaweza ukajificha lakini tabia hazijifichi
Mwambie Simon akupe zote,wewe unafanya marudio tuu
Kwa hiyo ile ubungo interchange imekamilika awamu ya sita??aisee wewe ni hamnazoKuna mradi awamu ya 5 iliwahi ukamilisha? Hadi stand ya Magufuli licha ya kuzinduliwa inaendelea na Ujenzi Hadi kesho [emoji2957][emoji2957]
We fala usinizoeeHuko Kundustan watu wapo busy kurembesha Brihtam tower wakati wananchi wanakufa na njaa. Halafu utakuta bado kwenye hii thread tuusan anajikomba kwa Wakenya ili apate likes zao, Shenzi kabisa[emoji1784][emoji1784]View attachment 2520394
Nikuzoee una nini wewe [emoji1787][emoji1787] zaidi ya kujikomba kwa Wakenya, hebu toka huko
Huyo dogo siyo mtanzania achanaye.Nikuzoee una nini wewe [emoji1787][emoji1787] zaidi ya kujikomba kwa Wakenya, hebu toka huko
Hivi kuna siku umewahi kuwa na Akili kweli, Ukabila na Biashara kunauhusiano gani?. Na aliyekwambia Songoro ni Msukuma Nani?, au unajitekenya na Kucheka Mwenyewe misho nikutukane Pita iviii.(Sunk the Fala)Kazi nyingi zipi? Ili ni kampuni ya matapeli Sukuma gang.
Hao wahuni wa Songoro walijenga meli za MV Mbeya,MV Nyasa na MV Njombe baada ya mwezi mmja kwenye Maji mameli yakaharibika.
Meli zimekaa miezi 6 kwenye matengenezo upya yaliyolipiwa na Serikali,kisa tuu ni kampuni ya mchongo na watu wanaitumia kupiga pesa,haya yametokea zama za Mwendazake na hakuna hatua zimechukuliwa.
Hawa wasipewe kazi nyingine yeyote.
View attachment 2520164View attachment 2520165