The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Aisee nimesoma comments kwakweli kuna umuhimu wa hawa viongozi wetu kuacha legacy ambayo itadumu milele, hii meli kwakweli ni ile ile aliyoihaidi Magufuli na ambayo alizindua ujenzi wake, leo hii imewekwa majini wakati yeye akiwa ameshalala milele, for sure Magufuli was the real deal.Kama render wanangu.. in the voice of The best 007
Nasikia kuna mtu kasema tumefanya repair [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2514820
Kitu kimeanza from scratch, afu mtu anasema tumefanya repair
View attachment 2514822
Wakundustan wanapaswa wajifunze kutoka kwetu katika kuheshimu render.
I wonder how Nairobi will be in the next few years!!!Construction on steroids in Pangani.
Sunk farasi imekula ban jamaa akarudi kwenye account yake ya zamani, akila ban kwenye hii tegemea kuona opportunitycost ikiwa hewani,,,,,😀😀😀😀We ChoiceVariable umerudi toka mafichoni? Kuna id hapa nikiona imepotea baada ya wewe kuja ntajua ndiyo wewe mmiliki wa hizo zote.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sunk farasi imekula ban jamaa akarudi kwenye account yake ya zamani, akila ban kwenye hii tegemea kuona opportunitycost ikiwa hewani,,,,,[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Litakufa jitu mwaka huu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwenzenu Alisha Badilisha Mada Baada ya Kumbana Kakimbilia Kwenye ScaniaKama render wanangu.. in the voice of The best 007
Nasikia kuna mtu kasema tumefanya repair 🤣🤣🤣
View attachment 2514820
Kitu kimeanza from scratch, afu mtu anasema tumefanya repair
View attachment 2514822
Mkuu ulipotea sn.Mwenzenu Alisha Badilisha Mada Baada ya Kumbana Kakimbilia Kwenye Scania
Wakenya Wanawivu sana yaani wao kila Kizuri Kiwe chao
City ipi iyo mkuuHii kitu ni #Denjalazi bhana, huu mradi ungekuwa kwa wapiga kelele hapa Afrika tusingelala……..kacity kanainuka fancy fancy kweli, yaani kako smart ile mbaya. Mpaka roho inasuuzika Kigamboni city kusubiri kwanza. Hii coverage TBS waiextend kidogo, inastahili kuonesha dunia nzima.