Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha hasira, Scania amepiga kambi Kenya sasa Golden Dragon ndio huyo kafwata.🤣🤣🤣 Tunawaletea services karibu, hakuna haja ya kwenda China mtakua mnakuja Nairobi au Mombasa.
Tuje Mombasa? Huku Dar coach, Hanspaul na RSA wikifanya nn?

 
Golden Dragon Assembly iko Kenya, you can't change facts. Vile hua munaundiwa Scania huku Kenya very soon hizo mchina pia mtakua muntoa huku.
 
Unadhani meli ni baiskeli intengenezwa na siku moja. [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Hii ndio reasoning ya wabongo ambao hata baiskeli hamwezi tengeneza.
Si kwa ubaya ila vitu vyenu vimekaa ki [emoji3508]kali sn thus y Watz wanawadharau mno. Huku Tz ukisikia tunafanya ujue tunafanya kweli, nadhani wenyewe mnaona. Anyways, leo timu ya wananchi a.k.a Yanga inacheza leo kule Tunisia, angalia mazoezi yao na jinsi vifaa vyao kama timu fulani kutoka Europe, Dar es salaam Young Africans [emoji116][emoji116]
 
Kweli nyie wakenya ni wanuka mavi [emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwahyo mara hii tayari unadai kwamba Mv Mwanza tumefanyia repair.? [emoji1787][emoji1787][emoji1787].. umia vizur tako wewe [emoji116].
Wanaumizwa sn na maendeleo ya Tz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Walipoona tunajenga Mv Mwanza nao wakaanza kujikusanya kusanya kijua kali jua kali wakaanza kuokota okota machuma nao wanajenga meli, cha kuchekesha zaidi sasa ni kwamba kazi ya kupiga bati na kupaka rangi wamewapa vilaza kdf wee subiri uone ngoma itajibu sio mda mrefu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sure, Wakenya ni Mavi kabisa hata chakula tunachowapa ni nafuu tuwape mbwa lkn co hawa, wana roho mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…