Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

 
nicholas
wewe ni mtu wa chadema...nahisi umekurupuka.
hili jukwaa huliwezi...rudi kule kwenye majukwaa yako ya kupiga porojo za kisiasa na kufanya uhanaharakati uchwara.

kwani mapato yatokanayo na secta ya utalii nchini unadhani vyanzo vyake nini?.magorofa ya posta mpya?...au kigamboni bridge?
 
Point yako nini hapo??nahisi hujui kinachojadiliwa humu ndani
amekurupuka...hawa ndio wale watz walioiukuta thread imeshafika kwenye maelefu ya pages...badala kutafakari au kurudi nyuma page kadhaa kuchunguza atmosphere ya thread, wanakurupuka tu na kuanza kusema dar haiwezi kuizidi nairobi kwa maendeleo.yaani wana mentality ya kinyonge mno na hali ya kutojiamini.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaaa hawa jamaa nawasiwasi ni wakenya sio bure,maanke wanaibukiaga patamu hafu wanatema pumba na kupotea[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Pengine ujinga wa ccm unakusumbua sana.Nipo long time hapa, na nimewakata kimblele wakenya. ILa kwa vile maccm akili zao na uwezo wao ni kurukia chadema kwa vile wanajua hawatadhurika kwa vile wanalindwa na kila kitu ktk dola. Ila nje ya hapo , maccm yote ni hovyo,hata maprof wao ukiwasikia ktk majukwaa makubwa mnata huruma. Sasa kwa akili yake wewe gamba, hapa vitu vya asili vinakusaidia nini?Hata wanyama si wanaweza ishi nchi nzuri kuliko binadamu.

Ongezeni vitu vinavyoonyesha maedeleo ya binadamu ,vitu vilivyotengenezwa na binadamu kwa elimu, juhudi , uvumilivuna akili na utamaduni mzuri.
 
ndg.
hii sio thread ya kuandika porojo nyingi kama unavyotaka wewe iwe.

rudi page za nyuma za hii thread ili angalau upate picha kimili ya namna gani hii thread ina trend.

fanya hivyo then rudi hapa uandike porojo zako hata ukurasa mzima.

kwa taarifa yako tu,picha za mvuto wa asili wa tanzania nilizo upload,nilizi upload tu kama by the way,theme ya thread ni dar vs nairobi.
 
Acehni wehu nyie maccm.Na jinsi mnapeana support ktk ujinga mnatia aibu.Umenirukia sijui ni chadema?Chadema sio mtazania?

Mlivyo wajinga mmeweka Lushoto na Matema.Nazo ni Dar? Au mtasema ni capital city kumaanisha ni nchi, sasa hujanipa hoja hapa. Hayo mazingira ya asili utajisifu nayo nini?Hata wanyama porini wanaweza jisifu nayo.Acheni undezi,mnatuaabisha wapuuzi nyie halafu mnashangilina km majinga.Onyesha kitu kinahcoonyesha binadamu waliishi tanzania na sio wanyama na mimea.Kuna nchi za ulaya wanaringia mafanikio bila kuwa na hata na robo ya rasilimali za tz.Ndio maana leo wanakuja kuona kwa pesa. Km hamjui nini mnashindana nacho na wakenya ni vipi sasa ,mtajua km mmeshinda?Wapuuzi sana nyie ndio maana, akili zenu ni kupiga wachaga vita, sasa wakenya mtawapiga vipi vita wakati polisi wenu hawafiki kule?wakati waandishi wenu uchwara hawafiki kule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…