The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Hehehehe hadi raha, yn umempa jibu la fasta kabisa, angalieni ustaarabu ulipotufikisha Watz [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]Bati zenye rangi ya kijani mpauko ni Ihumwa.
Kalilie kwa choo, ni Mombasa bado..,Mambo ya zamani sn haya mkuu.
Skia hip-hop ya new generation. Hii ni dis track yake Dizasta Vina kwenda kwa Rapcha.. skia stanza zilivyopangiliwa humo ndani.. complexity of this music kwa mkenya itambidi akae na kamusi ya kiswahili kuelewa nini kimeimbwa.. enjoy πSioni Tanzania ikipata mpinzani Kwenye muziki ukanda huu.
Kipande kdg vp hueleweki, kutoka Dar mpk Mwanza ni kipande kdg? Hapo zinaingia Kenya tatu mzee.Naongelea kipande kidogo kimewachukua miaka tano, sasa mnaingia wa sita, wacha kujitoa ufahamu mjukuu, mko hovyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] ...,
Way back.
Leo hii wewe umepanda SGR kutoka Dar to Morogoro? nyambaff π π π π π π π π πKipande kdg vp hueleweki, kutoka Dar mpk Mwanza ni kipande kdg? Hapo zinaingia Kenya tatu mzee.
The place is developing so fast.. ni bonge la mtaa. Mmh mbona kama DAR itaachwa mbali sana na DODOMA in less than 5 years to come likija suala la mpangilio wa mji na makazi bora .. Kwasasa Mwanza na ARUSHA zinazidi DOM labda kwa CBD tu sio makazi ya watu naweza kusema hivyo pasi na shaka tenaBati zenye rangi ya kijani mpauko ni Ihumwa.
Ebhn huyu Dizasta Vina ni mwanangu sn alafu namkubali sana, nmesikiliza ngoma yote, oya uyu jamaa anajua sn.Skia hip-hop ya new generation. Hii ni dis track yake Dizasta Vina kwenda kwa Rapcha.. skia stanza zilivyopangiliwa humo ndani.. complexity of this music kwa mkenya itambidi akae na kamusi ya kiswahili kuelewa nini kimeimbwa.. enjoy [emoji116].
Unaweza kupanda SGR mbwa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo hii wewe umepanda SGR kutoka Dar to Morogoro? nyambaff [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kamuongopee babaako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vumilia, ni Mombasa, Kenya, sio Tanzania.,
View attachment 2492647
The place is developing so fast.. ni bonge la mtaa. Mmh mbona kama DAR itaachwa mbali sana na DODOMA in less than 5 years to come likija suala la mpangilio wa mji na makazi bora .. Kwasasa Mwanza na ARUSHA zinazidi DOM labda kwa CBD tu sio makazi ya watu naweza kusema hivyo pasi na shaka tena
Ameumia, chunga usife kabla haujapanda, bladfwakin kabisaa π π π π π π π π π π π₯ π₯ π₯ π₯ π₯ π₯ π₯ πͺ πͺUnaweza kupanda SGR mbwa wewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
utanyooka mjukuu..., ngojeni miaka mia moja angalau..., ππππππππππKamuongopee babaako [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Dar, Nairobi, Mwanza, Kigali, Kampala yote hiyo ni miji ya kale haiko organized, ni miji ya hovyo tu linapokuja suala la mpangilio wa mji. Dodoma inakuja kuikomboa EA na cc tuonekane wastaarabu.The place is developing so fast.. ni bonge la mtaa. Mmh mbona kama DAR itaachwa mbali sana na DODOMA in less than 5 years to come likija suala la mpangilio wa mji na makazi bora .. Kwasasa Mwanza na ARUSHA zinazidi DOM labda kwa CBD tu sio makazi ya watu naweza kusema hivyo pasi na shaka tena
Jamaa anajua sana..Ebhn huyu Dizasta Vina ni mwanangu sn alafu namkubali sana, nmesikiliza ngoma yote, oya uyu jamaa anajua sn.
Huyu atajinyea [emoji3516][emoji3516][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ameumia, chunga usife kabla haujapanda, bladfwakin kabisaa [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji91] [emoji123] [emoji123]