Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Atokee mmoja wao aje hata hapo boda kama wao wanapesa [emoji38][emoji38][emoji38] CBD yenyewe imeoza inanuka shombo la kila aina yani watu wenyewe ukiwaangalia wameparara na ugumu wa maisha

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

But beautiful [emoji847][emoji847]
Najua mnatumia nguvu nyingi sana kutuprevent kutumia hizi picha kwa sababu mnaziogopa[emoji38][emoji38] Mimi sitoacha kuzituma mpaka dawa iwaingie
Eti Nairobi pamepauka? 😃😃
Nenda kalilie chooni
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ona walivopoa wanaingia wakichungulia tu wanaona nimezishika chupi zao wanatoka bila hata comment

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Weka sindano zote mkuu, ila angalia wasiibe simu [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…