Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

SI atupie video za hyo migori town kama ni mwanaume tosha. Rather than selective cherry picking here there.
Mwingine amekuja kupiga picha za magari Kenya na kusema tulivyomasikini anasahau uhalisia wa hali ilivyo kwenye jiji lao kuu
 
Star yeyote wa bongo ni lazima awe star EA lkn ma star wenu sisi hatuwajui [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wakina ambaruti na gigi ni idols wakubwa sana huko kenya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mimi kuna vichaa wa bongo nimewajulia kutokea Kenya πŸ˜‚
 
Viraka tayari dadeq πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Mchina wa sgr ndio huyu huyu wa bypass, hii bypass itakuja siku ibomoke yote

View attachment 2477595View attachment 2477596
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nawahurumia yani mitanganyika kwa jinsi hii barabara inawakosesha amani. Wewe ni mtu w pili kuomba hii barabara libomoke. Kwa kwanza alisema litabomoka kwa sababu pillars zake ni ndogo. Roho itazidi kuwauma na bado.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…