Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huwezi linganisha dar na nairob kwa namna yoyote ile unless hujatembea, nairobi iko mbali sana katika nyanja zote huwez kuoshindanisha na dar
 
the drama continues...
current situation on citizen tv
[emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji116]

raila ajitoa katika uchaguzi wa marudio.
NB: kiswahili cha kenya kiko fun sana...eti "raila abanduka".[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sadly, tunaochangia humu 90% tunaijua Nairobi, tumetembea na kuipekenyua hadi kule kibera kwenye flying toilets.
kwa sababu watanzania wengi wakija Nairobi, maisha wanayoweza ku afford ni ya kibera.
 
ila we mtz mwenye redio ya mbao ambae unakurupuka bila data zizote unakandia bongo tutakuweka kwa wakenya tuendeleze mapigano,Mimi ,kadoda,tuusan,ichoboy,Ndinda tunawatosha kabisa wakenya wote naweww unaweza kujiweka upande wao afu utakuja kurealize badae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…