Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jamaa fala sana hawa, ukiwaambia Dar ni kubwa mara 4 ya Nairobi wanakuambia hata newyork ni ndogo kwa Dar, ukiwaaonesha development ya 30km away from CBD wanaenda kukuletea County ya murang'a eti nayo ni Nairobi 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 huyo mvumilieni ndio zwazwa lao
 

Tena ndio ameenda Kuharibu[emoji23] Lilipigwa dude la Kimaadili na madera ni Moto kuliko hata Vile vichupi vya Christmas ambalo ilikua ni tukio la Mara moja. Wanatumia nguvu kubwa kwenye vitu ambavyo havihitaji hiyo nguvu.
 
Tena ndio ameenda Kuharibu[emoji23] Lilipigwa dude la Kimaafili na madera ni Moto kuliko hata Vilr vichupi vya Christmas ambalo ilikua ni tukio la Mara moja. Wanatumia nguvu kubwa kwenye vitu ambavyo havihitaji hiyo nguvu.

[emoji23][emoji23][emoji23]

Wateuliwa wengi sielewi kwanini hawapendi kuacha legacy nzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…