Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kunyaland huku hamtokaa mfike, ninyi komaeni tu na masafria yenu, huku sahauni

Anaitwa Makundi,anapambana sana Na Abood bus services, Ukitaka kukua pambana na the best,Abood amemfundisha uyo Mchaga biashara maana kwa route ya Dar Moro Abood yuko ulimwengu wake...Yeye kila nusu saa gari imejaa inatoka stand...

Lakini naona BM Amefika level nzuri sana kwa sasa...BM amekua mwamba na anazidi kumsogelea Abood kwa ukaribu sana...Kongole kwake
 
Yes, township. I name the collection of slummy settlements the way I view it. Acha kunipangia Mkunya.
You can name it the way you want to make yourself feel good just like we say Dar is a Slum, but you can't use it in an argument to make your point. I've realized you're very stupid, I used to think you were of better class than Ichoboy, the best 07 and venus. Same Whatsapp group.
 

You have realized,
You used to think,
Eti class Oneni hii takataka Huku

Wewe ni Mpumbavu kabisa,
Who do you think you are Mkunya ?
 
Kuna mkundustan mmoja alikuwa anasema eti hakuna bus ya route za Dar to Moro kisa karibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Akitaka alinganishe Zanzibar na Mombasa kwanza aweke airport ya Mombasa na Zanzibar tulinganishe maana hizi ni gateways na huakisi sura ya mji husika.
 
Watu masikini hapa EA wanajulikana ni akina nani na hilo lipo wazi
Ni kweli wanajukikana maana wanakufa njaa, wanakaa kwenye mazingira machafu na slums zimetapakaa kila mahali pia hutumia flying toilets na sex hufanya kwenye parks maana hela ya hoteli hawana.
 
Hasira itoke wapi mkunya,
Nashangaa tu vile umejipa hadhi ya ku classify watu humu yet you are coming from Kenya [emoji3][emoji3][emoji3].
Kwamba ana classify watu wakati anatokea Kenya [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna mkundustan mmoja alikuwa anasema eti hakuna bus ya route za Dar to Moro kisa karibu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anawazimu huyo mpuuze,yani 200km ni karibu kivipi[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…