Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi bila kusaidiana na counties nyingine 5 haiiwezi Dar hata robo 😂😂😂
 

I am talking about nairobi township, sasa mlolongo si ni Machakos ?
 
Anakuja mwehu fulani wa huko kundustan anafananisha Zanzibar, ile paradise ya Africa nzima na Mji mchafu na wa hovyo kama mombasa,
Zanzibar is viewed by the world as one of the World’s best travel destinations,




 
Poor drainage system as usual! Chinese doing Kundustans!
 
Zanzibar ni yakufananishwa na miji mizuri kama Venice au Hannover au Basel ,
Sio takataka kama mombasa,
Watu wanadhani kupaka rangi za bluu kwenye majengo kuukuu na kujenga vijengo viwili vitatu vya ghorofa 10 mombasa basi tayari utalingana na mji wenye hadhi na heshima duniani kama Stone Town ?








 
You are so foolish and ignorant my friend, who told you tha Tz hawapewi hati miliki ya ardhi na wizara ya ardhi ?
and who told you serikali hunyanganya watu land without compensation?
Bongolala, you can't be given tittle deed to a piece of land you lease. If that were the case, you won't be renewing your leases after a certain period of time. Tittle deeds hupewa wamiliki wa ardhi si wanaokodisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…