Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Mzee mbona unazunguka sana, mention the list of Slums in Dar same way we do for Nairobi.
 
ili kuleta ufanisi mkubwa kwenye mipango miji ikiwa ni pamoja na kurekebisha kifungu cha sheria katika umiliki wa Ardhi ili kuvutia wawekezaji wengi wa private.
Nikifungu kipi hicho umiliki wa ardhi kwa wawekezaji?
 
Jibu swali, kati ya hizo picha mbili gani slum?
Mm naweka picha ya chini ya Githurai slum na wewe tafuta picha za chini za Tandale weka humu zen tufanye conclusion, unaweka picha za mawinguni utajuaje sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sawa niambie ni kwanini Taoo imefurika kila wakati, hakuna usafiri, congestion, traffic jam and all that craps, if your city is functioning left right and center why the hell everybody is flocking to CBD? 5M tu mmejaa, mkifika 7M kama sisi?
Ubaya unaongea ukiwa Tandale. There's a high chance you've never stepped foot in Nairobi, and probably you will never. Wacha kuongelea adithi za kusimuliwa. Nairobi cbd haikuwangi na traffic jam. Traffic jam inapatikana on the major roads leading to the cbd. About congestion, hiyo ni kitu ya kawaida na ipo hata NY. Inategemea congestion inapitakana which side of the city. Nairobi downtown is always congested, just the same way Kariakoor Dar is also congested. Usiwe wa kupurukika
 
Nairobi's CBD Congestion is high end congestion. You can't compare it with Kariakoo. Kariakoo congestion is similar to Eastleigh congestion.
 
Nilipoteza muda kupima ukubwa wa Naipori CBD vs Posta .. hizi hapa 👇 Naipori cbd ni 1.4 km²View attachment 2469789vs Posta 2.11 km² View attachment 2469790so DAR CBD is two times larger to Nairobi's 1
ona.. hapo hauja include, Tom Mboya street ie.(the busiest, the most famous and the most popular street within nbi old cbd!), pia RiverRoad, Kirinyaga Road, Ronald Ngala Street, Race Course Road, Accra Road, Luthuli Avenue, Latema Road.. etc

as in, hapo ume capture tu a 1/3 of nbi cbd
 
Huyo anaongea anasahau he lives in one big sprawl of a slum called Dar. He forgets that Dar, just like Nairobi is a Third World city and most Third World cities share the same problems. It's good umemkumbusha that Nairobi is still the best in this region however bad they may talk.

He talks about basic services while a big part of their city, including certain parts of the cbd, lack sewer system. Which part of Nairobi cbd is not connected to the sewer system? The answer is none!

Hawa mibongolaa huendeshwa na mihemko sana!
 
Nairobi's CBD Congestion is high end congestion. You can't compare it with Kariakoo. Kariakoo congestion is similar to Eastleigh congestion.
And that was my point precisely. These sourthernes need to step foot out of that sprawl of a slum they call a city wajue life exists outside the boundaries of Dar is slum
 
Eti anasema Nairobi ni kama Dhaka na Lagos yet those two cities are way better than Dar is a Slum. economy ya Dhaka pekee ni kama ya Tanzania 7 times. Hawa watu hawananga information kabisa.

 
ona.. hapo hauja include, Tom Mboya street ie.(The most famous and popular Nbi Cbd street!), RiverRoad, Kirinyaga Road, Ronald Ngala, Race Course Road, Accra Rd, Luthuli Avenue, Latema Rd..

as in, hapo ume capture tu a 1/3 of nbi cbd
In short, ameacha the whole of downtown Nairobi, commonly referred to as "commercial"
 
Eti anasema Nairobi ni kama Dhaka na Lagos yet those two cities are way better than Dar is a Slum. economy ya Dhaka pekee ni kama ya Tanzania 7 times. Hawa watu hawananga information kabisa.

Si nakuambia wanaendeshwa na chuki na mihemko!
 
Eti anasema Nairobi ni kama Dhaka na Lagos yet those two cities are way better than Dar is a Slum. economy ya Dhaka pekee ni kama ya Tanzania 7 times. Hawa watu hawananga information kabisa.

Dhaka ni wapi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…