Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wivu gani ya kwenu ni just local manufacturing hata AVA ni just local manufacturing 🤣🤣🤣 ww unataka kunambia kenya kuna market gani ya VW wakat probox na vitz ziko over 95%
Assembly plant yenu ya Volkswagen iko wapi? Wacha kujifanya hujaona swali.
 
VW Group haiwatambui!
Wana yale magari mobius kampuni moja ya mzungu hapo kenya ww jaribu kuwauliza zimeuzika ngap hapo kenya hata 20 hazifiki just imagine 🤣🤣🤣🤣🤣 alaf atakwambia assembly plant na wakizungumza ni as if wapo europe
 
Ebu nione assembly plant yenu ya Volkswagen? 🤣 🤣 🤣 🤣
Hebu ww nioneshe production ya vw kenya zikifika 20 nitag nifunge acc 🤣🤣🤣 ikiwa mobius muna miaka zaidi ya 7 na hakujawah uza hata magari 20 itakua hio VW
 

This is actually BAIC BJ40 manufactured in China by BAIC, and assembled locally and rebadged as Mobius. Especially Mobius 3. They have a different name in Nigeria too.

 
Mercedes Actros now Assembled in Kenya. Buy Kenya build Kenya.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 acheni tu nicheke hebu nioneshe plant na ukipata nitag nifunge acc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…