Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

haaaaa unaumwa ww tuonyeshe bus zenu bas za kule ushagooo
Hakuna China made hapa. Zote ni proudly made in Kenya by Kenyans for Kenyans. Master Fabricator.

Isiolo Bound Bus

Mabruk


Garrisa Bound Bus.

Rayan Coach.
 
Wakenya wote wamekimbia kabaki mwendawazimu peke yake, huyu mnuka mavi wala asiwasumbue ni chizi huyo hajali kitu zaidi ya kujiliwaza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mambo yanabadilika, kuna Mmoja juzi kaibuka na kusema sasa hivi battle ni 1:1 🤣 , Kuna mmoja kasusa hatumwoni tena.
 
Mambo yanabadilika, kuna Mmoja juzi kaibuka na kusema sasa hivi battle ni 1:1 [emoji1787] , Kuna mmoja kasusa hatumwoni tena.
Tunawapelekea moto sio poa, tuliwaambia hii miradi ikiisha mtakimbia humu. Wengine washaanza kupagawa na Dodoma station ikiwa bado haijafika hata 50%[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Unaleta ayo mabanzi apa cjui una akili kama za mdudu wa chooni ivyo vyuma vya mapipa mnaweka kwenya gari ebu ishia
Pole Kwa maumivu🤣😂😂

Kenyan made na sio cheap Chinese imports zenye mnatumia.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…